ndo maana nkakuambia kuwa makini ktk kutafuta tiba ya kupoza iyo kitu...madawa hayo watu huyapenda lakini unatakiwa kutumia kulingana na uwezo wa mshipa wako..mkuu unanitisha
hapatikaniUmejaribu kumwambia mtaalamu wako?
Sio kwa staili hiinyie ndio mnaoomba mvua ardhi inapokuwa kame kisha mvua ikija nyingi mnalalamika!
mmmmmh!!!! Mkuu mbona hatariKinachosababisha nguvu za kiume kupungua ni mzunguko mbovu wa damu kwenye mishipa ya dushe, ambako husababishwa na maradhi ya moyo, mishipa ya damu kutanuka kupata kiasi na tabia mbaya ya kujichua. Hivyo dawa yoyote utakayosikia inaongeza nguvu sii kweli inaongeza , inakwenda kulazimisha moyo kupeleka damu kwa wingi kwenye dushe kinyume na matakwa ya mwili wenyewe, hali hii inaweza kusababisha moyo kusimama gafla na hivyo kupoteza uhai. Ndio maana ukisikia mtu amepoteza maisha akifanya mapenzi ujue katumia madawa hayo. Kwa hali uliyonayo sii nzuri, na moyo wako na mishipa ya damu inafanya kazi kinyume na utaratibu wake, mshuhkuru Mungu mpaka sasa hivi unapumua nenda hospitali watakusaidia kukurudisha katika hali ya kawaida.
mmmmmhhhhUlie panga kumkomoa ukamnywea dawa nae babu yake kampa dawa mwelewe ulie mkwichikwichi akup dawa
Hasa unanibishia wakati hiyo njia niliyokutajia ndiyo mujawabu wa tatizo lako? Wewe jaribu afu utaniletea mrejesho hapahapana mkuu
hahaa huyu dogo Muuza chai sanahahahaha! mkuu usahau tu.
hahaa anashida sana huyu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Inabidi uubadilishie kazi, tundika nguo zako....
Tafuta mngese umgegede ukiona vima utachukia hapo itanywea yenyewe bila ubishiHabari wa MMU!!!
Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.
Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na Mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.
Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.
Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.
Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.