Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Bill kapicha hi hainogi aisee,
 
Usitumie nguvu na muda mwingi nini cha kufanya.Tembea na mke wa mtu katika maeneo hatarishi kufumaniwa. Ukishafumaniwa ghafla itapoteza mawasiliano na ubongo na kusinyaa
 
Weka uume kwenye barafu, muda mfupi utasinyaa na baadae nenda onana na daktari hospital utapewa ushauri
 
Usitumie nguvu na muda mwingi nini cha kufanya.Tembea na mke wa mtu katika maeneo hatarishi kufumaniwa. Ukishafumaniwa ghafla itapoteza mawasiliano na ubongo na kusinyaa
mkuu unataka nitolewe roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…