Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Utapata wateja wengi sana wa dawa yako hapa jamvini.
Nimependa uwezo wako wa kufikiri mkuu!

Jamaa anafanya promotion ila ni ngumu sana kuelewa kama ni tangazo!😊
 
Habari wa MMU!!!

Baada ya kugundua kuwa uwezo wangu wa kufanya mapenzi umepungua kiasi, niliamua kuomba ushauri kwa rafiki yangu wa karibu.

Rafiki yangu alisikitika sana lakini aliahidi kunisaidia kwa hari na Mali iliniweze kurudi hari yangu ya zamani hivyo aliniconnect na mtaalamu wa tiba mbadala.

Nilifanikiwa kupata dawa kutoka kwa mtaalamu huyo, alinipa dawa hizo ambapo alinielekeza nile masaa mawili kabla ya kufanya tendo.

Cha kushanga baada ya kula na kufanya hilo tendo uume haujarudi kwenye hali yake ya kusinyaa( uume umedinda) mpaka hivi sasa ninavyoandika Uzi huu(siku 2) hivyo kupelekea kushindwa kufanya shughuli zangu za kila siku.

Naombeni mnisaidie Ndugu zangu hali ni mbaya sana maana nimepiga mpaka puli lakini bado.
Umesahau kutaja bei ya hiyo dawa na kuweka namba ya simu ili wateja wakutafute

Aliyekupa dawa unamjua halafu eti ikuletee madhara ushauri uje uombe hapa kwa watu ambao hata hawajui umekunywa dawa gani

Subiri wapumbavu watakutafuta
 
Back
Top Bottom