Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Umesahau kutaja bei ya hiyo dawa na kuweka namba ya simu ili wateja wakutafute

Aliyekupa dawa unamjua halafu eti ikuletee madhara ushauri uje uombe hapa kwa watu ambao hata hawajui umekunywa dawa gani

Subiri wapumbavu watakutafuta
soma vizuri mkuu.. Hii Sio Biashara uliza kuna MTU kaweka namba yake page ya kwanza kama nimemtafuta
 
soma vizuri mkuu.. Hii Sio Biashara uliza kuna MTU kaweka namba yake page ya kwanza kama nimemtafuta
Then hakuna msaada unaweza kupata hapa kwa watu wasiojua umekunywa nini. Side effects na mwenye kuweza kukuhudumia ni aliyekupa hiyo dawa
 
Mkuu achananayo naona inataka kujitegemea yenyewe Kama vipi itafutie chumba Cha kupanga maana itakuwa aina adamu maana unasimama na yenyewe inasimama [emoji27][emoji27][emoji371][emoji112]
 
Uongo! Siku uume umesimama ungeweza kuandika sms, ungekuwa hoi hospital tena ukilia kwa maumivu
 
Muitee tena demu wakoo aje na rafiki akee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…