Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soma vizuri mkuu.. Hii Sio Biashara uliza kuna MTU kaweka namba yake page ya kwanza kama nimemtafutaUmesahau kutaja bei ya hiyo dawa na kuweka namba ya simu ili wateja wakutafute
Aliyekupa dawa unamjua halafu eti ikuletee madhara ushauri uje uombe hapa kwa watu ambao hata hawajui umekunywa dawa gani
Subiri wapumbavu watakutafuta
kwenye simu...dawa siku chukua kwake tulimeet mahala lakini alinidokezea anakaa bananaHapatikani wapi kwenye simu au nyumbani kwake
kwenye simu...dawa siku chukua kwake tulimeet mahala lakini alinidokezea anakaa bananaHapatikani wapi kwenye simu au nyumbani kwake
Then hakuna msaada unaweza kupata hapa kwa watu wasiojua umekunywa nini. Side effects na mwenye kuweza kukuhudumia ni aliyekupa hiyo dawasoma vizuri mkuu.. Hii Sio Biashara uliza kuna MTU kaweka namba yake page ya kwanza kama nimemtafuta
Story zako huwa ni za uongo uongo tuusanii gani mkuu?
nimekusoma mkuu subiri nimtafute jamaaThen hakuna msaada unaweza kupata hapa kwa watu wasiojua umekunywa nini. Side effects na mwenye kuweza kukuhudumia ni aliyekupa hiyo dawa
Unazingua wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inabidi uubadilishie kazi, tundika nguo zako....
usicheke nisaidie mkuu🤣🤣🤣yan nmecheka mpka basi
usicheke nisaidie mkuu🤣🤣🤣yan nmecheka mpka basi
usicheke Dada angu... nisaidieAhahahah poleee
mmmmhhh!! Sio ntaongeza tatizoSugua ukuta km mbuzi