Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

Dawa ya mtaalamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angalia isijekuta ulikosea masharti kwani ikisinyaa haita simama tena aslani
 
Kula tena molecular inaitwa terbutaline kutibu hiyo priapism.
 
Picha
 
pole sana Mkuu..... nimekumbuka nyimbo ya juma nature - si ulitaka chai chaii, iweje ulalamike unaunguaa, kuwa mwangalivu msikivu ukipenda sana ngono utaunguaaaa.
 
Ikate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…