Uume unaniwasha ndani kwa ndani, nifanye nini?

Aisee hili nalo neno masta, daah tunashukuru kujua hilooo
 
Weka suluhisho
 
😀😂😀😂😀😂😀😂 Syphilis hioo ushanasa. Aisee isije ikawa kawa Empox
 
Ukiomba ushauri humu JF jiandaa kisaikolojia. Unatishia na kushambuliwa kweli.
 
Nlipatwa na hiyo hali mkuu, katakata vitunguu swaum 5punje then meza na maji au maxiwa kila siku unapolala kwa mda wa siku7 hautojuta then tuletee mrejesho. Endelea kumeza 3 kila siku maana huyo dem unaekula huezimwacha
 
Gono ilo wadada wengi sijui kwanini wana gono Mimi niliwahi tembea na dada siku 2 zinazofata nikapata dalili kama zako hawa madada wa miaka hii sijui kwanini asilimia kubwa wana gono
Gen Z ni shida vinagongwa kila mtaa na hizi dimu siku hizi ndo zimeharibu kbs
 
sasa unaomba ushauri na unasema tusiseme una magonjwa ya zinaa

ahiyo imooo
 
Miezi kama miwili imepita nimewashwa sana miguu, huwa inatokea muda mwingine ni allergy tu
 
Noted
 
Wsla sio gino msimtishe ni STIs
NImefanya vipimo Kila kitu safi ila dokta kanipa tu vidonge vya minyoo na fangasi ndo anavyohisi japo minyoo Sina,amenipa ivyo vidonge vya fangasi nitumie ndani ya siku 14 Kila nione kama Kuna mabadiliko yoyote .
 
Ukiomba ushauri humu JF jiandaa kisaikolojia. Unatishia na kushambuliwa kweli.
Si wasenge hao vichwa vyao vimejaa Gono na UTI muda wote ndo wanachowaza ,utembee na demu mwezi upite ndo uone dalili za Gono nahisi hawalijui Gono vizuri😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…