Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili.

Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu uliosimama huwa una urefu wa sentimita 14.

1676975370211.jpg
 
Pale ANGAZA upo wa mti kufundishia jinsi ya kuvaa kondomu, ni mgumu kuliko uume halisi. Sasa huo uliogunduliwa uingereza ulitumikaje?

Maana ni kitu kigumu kuingiza ukeni, labda ungekuwa wa sponji, maana uume halisi ni kama sponji tu unanesanesa na kupungua urefu na unene kwa kadri ulivyoumbwa.

Hata ukiingia ukeni unanyumbulika na kufiti ndani ya uke kutegemeana na ukubwa na udogo wa uke. Sasa huo wa mti si ni gogo tu hilo?
 
Back
Top Bottom