Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili.

Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu uliosimama huwa una urefu wa sentimita 14.

View attachment 2525009
Kwa akili yako tu hako kambao kana miaka 2000? hawa wajinga wanapromoti ajenda zao
 
Watu wa kale waliokuwa na maumbo makubwa, utafikiria punda. Ila miaka inavyozidi kwenda maumbo yanapungua kima cha bamia.
 
Hiyo gharama ya kwenda kwa fundi na ubao ya nini? Naomba usinitajie location nitakuhudumia kadri upendavyo
Kuhudumiwa iwe financially, emotionally na physically. Mbali na hapo naomba niendelee na dildo langu la mbao
 
Back
Top Bottom