Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
mmemuuliza umri, maana kila nikikumbuka kuna umri unaweza kutundika hata mfuko wa kilo ya sukari na bado kitu kikaweza kuubeba. ila uanze na kubadilisha kwanza hiyo picha
 
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,

Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.

Hofu au msongo wa mawazo ni miongoni mwa vitu ambavyo hupelekea kushindwa kumudu tendo la ndoa, muhim ni kuondoa hofu na pia mawazo yako yaelekeze katika tendo husika utaona matokeo bora.
 
Hofu au msongo wa mawazo ni miongoni mwa vitu ambavyo hupelekea kushindwa kumudu tendo la ndoa, muhim ni kuondoa hofu na pia mawazo yako yaelekeze katika tendo husika utaona matokeo bora.
[emoji120] [emoji120]
 
Point daaaah uko vizuri
 
Si Munasema Puli Haina Madhara nyinyi??
Sasa wewe endelea Kula Kwa Macho tu Coz Ndiyo hivyo Penalt umepewa Unashindwa Tumbukiza Mpira Kimiani badala yake unaishia Kuutowa Wa Kurushwa.
 
Jamani si tulisikia kwamba vitunguu swaumu vinatafunwa tu? Sasa Leo hii huyu nae kaja na yake eti unaweka kwa haja kubwa duhuu hatariii
 
Haya mambo huanzia kunako kichwa...
Pengine ulipata hofu ndo jogoo akakuangusha........
LABDA TUJUZE
Unapoamka asubuhi,khali ya Jogoo wako.... huwa anasimama?
Dah mm nikiamka asubhi jogoo hasimami tofaut NA hapo mwanzo....Tatizo litakuwa ni nn ? Nina mwez NA nusu sasa
 
Hawa wanaume wa dar hawa kila siku kulialia tuuuu!hameni dar njooni huku tule natural food muone hawataamsha.tatizo mnashindia chips urojo za hapo buguruni shell ndio maana hazisimami.
 
Dokta ni kweli? Tuaminishe basi
 
Well said, anapiga puli Halafu anatudanganya hapa
 
Mmmmh!! We mzimzi mkavu wewe [emoji15]
 
[emoji46] [emoji46] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…