jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,760
- 1,580
mmemuuliza umri, maana kila nikikumbuka kuna umri unaweza kutundika hata mfuko wa kilo ya sukari na bado kitu kikaweza kuubeba. ila uanze na kubadilisha kwanza hiyo picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman naomba kuleta kwenu jambo hili,
Nilipotaka kufanya mapenzi mara ya kwanza uume wangu haukusimama kikakamavu kitendo ambacho kilipelekea kushindwa kuingiza hata mara moja sasa nashindwa kuelewa ni nini tatizo,mpaka naogopa kujaribu tena.
Point daaaah uko vizurimkuu nafikiri uoga wako tu. Unajua uume kusimama inategemeana na hali uliyonayo hasa hofu ya ugonjwa wa UKIMWI na pia jins mwanamke mwenyew alivyo. Kuna baadhi ya wanawake hawavutii kimapenz kbs hata akipita uchi mbele yako huwez kusimamisha kamwe. Pia huenda papuch ililkuwa hajisafishwa vizur huenda ilikuwa inatoa harufu
Hebu tafuta mwanamke mwingine mrembo halaf uje utupe mrejesho
Hakuna!Sikubaliani na ushauri unaoushabikia apige makonyagi mbona shoo ataisimamia fresh tu!Ahsante sana mkuu. Ubarikiwe sana na Bwana Mungu wa Mbinguni.
Akipiga konyagi anakuwa sio yeye tena bali ni konyagi mkuu.Hakuna!Sikubaliani na ushauri unaoushabikia apige makonyagi mbona shoo ataisimamia fresh tu!
Jamani si tulisikia kwamba vitunguu swaumu vinatafunwa tu? Sasa Leo hii huyu nae kaja na yake eti unaweka kwa haja kubwa duhuu hatariiisiku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
Dah mm nikiamka asubhi jogoo hasimami tofaut NA hapo mwanzo....Tatizo litakuwa ni nn ? Nina mwez NA nusu sasaHaya mambo huanzia kunako kichwa...
Pengine ulipata hofu ndo jogoo akakuangusha........
LABDA TUJUZE
Unapoamka asubuhi,khali ya Jogoo wako.... huwa anasimama?
Dokta ni kweli? Tuaminishe basisiku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
mkuu una umri gani?obama kupiga puli sio sababu ya mimi kupiga mkuu... NIMESEMA SIJAWAHI KUPIGA PULI. nishauri kwa jambo lingine
Acha uongo kijana, hupigi punyeto kabisa kabisa??nilitumia kinga..,punyeto sipigi ila ukweli mwanamke hana ushiriano kwenye sexy kalala tu
Well said, anapiga puli Halafu anatudanganya hapaMwanamke kalala tu? Khaa!! Kama kalala tu ndio mtamu huyo.. Wewe ni mpiga puli mkubwa.. Si unaona hata mikono yako hio kwenye picha inaonyesha.. Hata kama utakataa ila siti unaijua moyoni... Na usikatae sema ukweli usaidiwe jinsi ya kuacha.. We ficha tu maradhi.. Puli haDi Obama alipiga sembuse wewe....
Mmmmh!! We mzimzi mkavu wewe [emoji15]siku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
[emoji46] [emoji46] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]siku ingine ikitokea hivyo tafuta punje 1 ya kitunguu saumu kitoe maganda yake kisha nenda chooni kakojoe kisha inama huko huko chooni kitie hicho punje ya kitunguu saumu kwenye tundu yako ya haja kubwa hakikisha kimeingia chote na kuzama kisha nenda haraka kitandani kalale kwa dakika 5 kisha amka uume wako utasimama kama chuma cha pua na utakuwa na nguvu za ajabu sana jaribu kisha uje unipe feedback.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kavurugwa[emoji46] [emoji46] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]