Uume wangu hausimami vizuri, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.

tungekua wanaume wote wqpo Kama ww nahisi shetani angeingia motoni peke yake.mkuu. asante coz nishamshindaga shetani mpaka sasa hv bado napigana nae.
 
Kitunguu saumu kinasaidia kuifufuwa mishipa ya nguvu za kiume kitunguu saumu ni dawa ya nguvu ya kiume kwani mimi ninaweka Post ya utani unavyofikiria wewe nini?
Hapana dokta wewe tunakuamini humu JF docta ,, OK thanks kwa ushaur mzur naamin vijana sasa watajaribu kufanya hivyo,,mfano mm[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Docta hicho ktunguu ktakaa kwa muda gani kwenye tundu la haja kubwa? Au knayeyuka chenyewe?[emoji15]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji220] [emoji220] [emoji220] [emoji220] [emoji220] [emoji220]
 
Mimi mwenyewe mara ya kwanza wakati ninaanza kugegedana na binti wa kwanza, uume ulikuwa goi goi, na baadae ukalala kabisa, yule binti alonishauri nivue kondom, niligoma kwa sababu nilihitaji kilinda afya yangu. Baada ya kushindwa tendo nilipata mawazo sana, siku iliyofuata ilibidi niendele kumuona doctor kwa ushauri na kama ikiwezekana nipate matibabu , kwa sababu nilihisi ninaulungufu wa nguvu za kiume, nilipofika kwa dactari alinishauri niwe free ninapokutana na mwanamke nisiwe na mashaka ya namna yeyote ila ti nisisahau kujikinga, next time nikapata demu wa pili, nikafuata ushauri wa dactari,niligegedaje, jani bao la kwanza nilimaliza baada ya nusu saa, na dabo uume ulikuwa umesimama ukihitaji mashambulizi zaidi , yaani nilidu kichizi, mpaka demu akaniambia amechoka, na akaniambia tutarudia tena tendo baada ya mwezi. Hilo tatizo ulilonalo ni dogo sana, usiwe na hofu unapokuwa na mwanamke.
 
Ushauri mzuri ila ukisubiri mpaka uoe wenzako huko wanamsonsomola vilivyo huyo unaemsubibiria, mimi Huwa nikifikiria hiyo nakata shauri
 
kinayeyuka chenyewe kitunguu saumu punje 1 tu.
Kudadeki huyu jamaaa anataka kuponza Watu, je kikianza kuwasha c ndo mwanzo wa kuanza kujitia vidole ili ukune, mwishowe uanze kutamn dyudyu tusipoangalia kwa tiba km hizi mashoga watakua weeengi sana
 
Vaa pete kwenye dude itasimama ila hayo ni madhara ya punyeto ya muda mrefu
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…