Uume wangu huwa haulali baada ya tendo la ndoa msaada plz

ONYO;1.sijasema nataka madem wa jf.2.kejeli sitaki.3.siogop ban ninaakaunt nyng.4.mwenye msaada atoe ukishndwa potezea.
 
jiunge na ccm, huko kuna viti vingi maalum
 
We kama mm zaman. nilikua nakula pweza sana ndo ishu izo zikawa zinanitokea punguza na ww utoomba ushauri tena
 
Nadhani wale wazee wanaopiga kama cha kuku wanatamani iwatokee hiyo hali japo mara moja moja ili kujenga jina kwa wapenzi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…