Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

Ni maandalizi hafifu baba, unapaswa kujiandaa dakika zisizopungua 20 kabla hamjaanza shughuli iliyopelekea wewe kuchubuka, hayo ni madhala ya kukurupuka. jifunze na kuwa mvumilivu katika kusubiri.

Mwili wa mwanadamu unapopata hisia ya ngono unatoa majimaji sehemu za siri, na majimaji hayo hutoka baada ya kama dakika kumi hadi kumi na tano hivi baada ya kupata hizo hisia. Lakini kama mtu kachelewa sana kutoa hayo majimaji basi hatazidi dk 20. akishindwa kutoa baada ya dk hizo basi unatakiwa kumuacha mtu huyo ukilazimisha kinachotokea ndio hicho cha kuchubuana.

Ute huu hutoka kwa wote mtumume na mtumke na unateleza sana kiasi kwamba hata kama mmoja ana chombo kikubwa namna gani basi hawezi kuumia kwa aji ya kuteleza huko.

Sasa wewe mwenzetu umechubuka ulimuandaa mwenzio dk ngapi????
 
Well, well, well... what can I say! I practically made up this story (a complete lie) to expose the level of hypocrisy amongst Tanzanians - a nation riddled with AIDS and holier than thou, sanctimonious crap that only serves to ostracize and vilify certain members of the community. How ironic! I find this attitude quite disturbing, patronizing and, to some extent, hilarious. I’ve had a mighty good laugh, sardonically, just reading the relentless mudslinging posts on this thread.

Now give us what you got out of the fake story!!!

did you find anything useful? or was it just for fun mate?
 
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku. Tulikwenda gesti kutenda hilo jambo. Sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile umechubuka. Demu mwenyewe alikua mkavu kidogo ukeni, nikajaribu kutemea mate ili alainike lakini baada ya mda mfupi ukavu unarudi pale pale na mimi ndio nazidi kuchubuka. Baada ya bao la kwanza, nilikuta tayari kaloa nilipo ingia mara ya pili. Lakini haikudumu. Ni kama vile huyu demu hana unyevu wake mwenyewe wakati anapojamiiana na mwanaume. Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sii gonjwa la zinaa. Ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?

Umekutana na jangwa?
 
kaka, ulitaka kichubuke nini? uume ndo umeutumia na huo ndo umechumbuka. kama ingechumbuka miguu au uchogo, hapo mjadala ungekuwepo.

adios
 
Mwanangu saa hizi wananikanda mbavu na maji ya moto.
 
Duh yaani hata ndomu hukuvaa na ni mara ya kwanza au mlipima kabla! cha zaidi umechubuka uume hii inamaanisha kama huyo demu ana ngoma basi umeshaipata!
 
Nadhani kijana atakuwa ameshatangulia mbele za haki maana thread ya mwaka juzi hii. He he he..
 
huyu jamaa inabidi tumchunguze anaweza kuwa ajenti wa osama yani demu cku ya kwanza unajilipua bila kinga mh.
pili inaonyesha ulikuwa na ukame ukashindwa kumwandaa ukaparamia tu
 
Jamani ni wengi wapiga kavu bila kujali uhusiano una muda gani au mmepima.
Bora yeye ameongea ukweli kuliko wanaopiga kavu halafu wanazuga walituma rough ryder ina ladha kama peku tu.
 
I am serious. Kuwepo kwa michubuko kunaongeza uwezekano wa kuambukizwa virusi vya ukimwi hasa kwa wale ambao hawajatahiriwa kwani nguzi ni laini mno. Ushauri wangu ni kuwa umefanya kosa kubwa mno kufanya bila condom. What the next steps?
Willy
 
Yani uyu kijana KANIOGOPESHA?? Watu wengine sio waoga kabisa!! Ulipima nae uyo dada?? If not, michubuko inaweza kupona but what about HIV?? Haugopi?? Na anaonekana sio wa kwanza wala wa pili maana wengine wote wanakuwaga wet!!!! Pole sana.
 
ingawa hii sredi ya zamani ila huyu mhusika kaniacha hoi yaani siku ya kwanza hata hamjuani hamna kucheki afya kaenda peku peku ..wengine mshaamua kukata Tiketi ya kifo kabisa ..sacrifise ya ajabu sana eh
 
Ukimshangaa aliyezoea kupiga peku naye anakushangaa, mnabaki mnashangaana tu.
 
Kuna mwanamke ambae nimeanza mahusiano ya kingono nae jana usiku. Tulikwenda gesti kutenda hilo jambo. Sasa kinachoshangaza ni kwamba kabla ya bao la kwanza uume wangu ulianza kujihisi kama vile umechubuka. Demu mwenyewe alikua mkavu kidogo ukeni, nikajaribu kutemea mate ili alainike lakini baada ya mda mfupi ukavu unarudi pale pale na mimi ndio nazidi kuchubuka. Baada ya bao la kwanza, nilikuta tayari kaloa nilipo ingia mara ya pili. Lakini haikudumu. Ni kama vile huyu demu hana unyevu wake mwenyewe wakati anapojamiiana na mwanaume. Sasa leo, maumivu ya mchubuka yametulia, kwahiyo nahisi sii tatizo la kudumu na wala sii gonjwa la zinaa. Ni mara ya kwanza mimi kufanya ngono na mwanamke ambae haloi ukeni ipasavyo. Je, unaweza kunishauri vipi kuhusu hili tatizo na jinsi ya kulitatua?

hawa wote wanatowa ushauri wa vichekesho mimi nakushauri kama una michubuko sehemu ya uume wako jaribu kumuona Doctor upesi iwezekanavyo na umueleze ukweli kama ulivyotueleza sisi hapo ondosha wasiwasi wa moyo wako fuata ushauri wa doctor utakaye muona huo ndio ushauri wangu.
 
kaka, ulitaka kichubuke nini? uume ndo umeutumia na huo ndo umechumbuka. kama ingechumbuka miguu au uchogo, hapo mjadala ungekuwepo.

adios

Mende dume aminia! Najua kazi ya mende kunusa vinyesi ndo maana ulipata jibu la haraka linalovunja mbavu!!!!
 
Tumia KY mafuta ya kulainisha kaulizie kwenye famasi bei yake aroud 5000 mpaka 7000 utapata chubu ukiwa unatenda tendo hilo maka uume na uke wa mwezi wako. Lakini Najua umeshamwambukiza VVU kwani wewe una VVU ndio maana Hukuogoma kucheza mdomoni mwa mamba. Mwanagu umeua wangapi???
 
Back
Top Bottom