Ni maandalizi hafifu baba, unapaswa kujiandaa dakika zisizopungua 20 kabla hamjaanza shughuli iliyopelekea wewe kuchubuka, hayo ni madhala ya kukurupuka. jifunze na kuwa mvumilivu katika kusubiri.
Mwili wa mwanadamu unapopata hisia ya ngono unatoa majimaji sehemu za siri, na majimaji hayo hutoka baada ya kama dakika kumi hadi kumi na tano hivi baada ya kupata hizo hisia. Lakini kama mtu kachelewa sana kutoa hayo majimaji basi hatazidi dk 20. akishindwa kutoa baada ya dk hizo basi unatakiwa kumuacha mtu huyo ukilazimisha kinachotokea ndio hicho cha kuchubuana.
Ute huu hutoka kwa wote mtumume na mtumke na unateleza sana kiasi kwamba hata kama mmoja ana chombo kikubwa namna gani basi hawezi kuumia kwa aji ya kuteleza huko.
Sasa wewe mwenzetu umechubuka ulimuandaa mwenzio dk ngapi????