Uume wangu una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeupe panauma naomba ushauri

Uume wangu una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeupe panauma naomba ushauri

20240813_103844.jpg
 
Mkuu hukuona Umuhimu wa kwenda Hospitali kabisa hadi uje uulize humu?

Hakuna jambo muhimu kama afya yako, hebu Fanya uende ukacheki Afya ili kama Kuna shida uanze matibabu mapema
Binadamu huwa tunatofautiana sana Mkuu.

Sema kwa hizi picha anazoombwa ni dhahiri atajiongeza na kuona bora akamuonyeshe daktari pekee.
 
Agiza chapati tatu na Maini rosti huku ukishushia na Maziwa fresh ya uvuguvugu,,Ukimaliza pumzika kama dk 45,,chukua maji baridi kiasi lita moja kunywa,,,tulia kama dk 15,,Nenda Zako kaoge safii,,ujiandae UKAMUONE DAKTARI.
 
Back
Top Bottom