Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembelea kwa wataalamu wa afya kwa ushauri na tiba pia!Samahani me uume WANGU una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeup panauma ni kama una ngozi nyepes sana naomba mwenye kujua shida nn anijuze 🙏🙏
🤣🤣🤣Vp mchuzi uliangukia apo nini wa mbogaSamahani me uume WANGU una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeup panauma ni kama una ngozi nyepes sana naomba mwenye kujua shida nn anijuze 🙏🙏
Hakuna afyaaà hapoo apake kitunguu swaumu na mkojo wake wa asbh changanya na chumvi nikopale kwa masaweNi vema ukiwaona wataalamu wa afya
Aweke tena viungo sasa itakua tayari kwa kukiwa🤣🤣Hakuna afyaaà hapoo apake kitunguu swaumu na mkojo wake wa asbh changanya na chumvi nikopale kwa masawe
Duuuuh! Hii tiba yako ni ya asili?Hakuna afyaaà hapoo apake kitunguu swaumu na mkojo wake wa asbh changanya na chumvi nikopale kwa masawe
Yap mkuuu haina mbambaaa hiohioo inarudisha nyota ama kama unataka mtu akupendezaidi kuongezea unaandika jinalake namakapen nyekundu mara 3 unachukua asali paka juuyake sema unachotaka kwake Weka kwenye kopo la mkojowako wa asbh tikisa ma ra saba lwa sikutatu nikokwa wakala nasibiria sadakayenuDuuuuh! Hii tiba yako ni ya asili?
Watu waongoYap mkuuu haina mbambaaa hiohioo inarudisha nyota ama kama unataka mtu akupendezaidi kuongezea unaandika jinalake namakapen nyekundu mara 3 unachukua asali paka juuyake sema unachotaka kwake Weka kwenye kopo la mkojowako wa asbh tikisa ma ra saba lwa sikutatu nikokwa wakala nasibiria sadakayenu
We mzee mngunya bwana we achana na haya nenda kashushe episode kuleeee. Tunakutafuta huonekan kumbe umejificha huku kwenye madushe rangi mbili!!Pole sana. Ulizaliwa hivyo au imekutokea tu?
Aiseeee! Wacha nifanye kautafiti kwa hiiYap mkuuu haina mbambaaa hiohioo inarudisha nyota ama kama unataka mtu akupendezaidi kuongezea unaandika jinalake namakapen nyekundu mara 3 unachukua asali paka juuyake sema unachotaka kwake Weka kwenye kopo la mkojowako wa asbh tikisa ma ra saba lwa sikutatu nikokwa wakala nasibiria sadakayenu
Fanyiakazi kakàaa garlic na chumvi mawe mwisho wa matatizo .hapo kwenye chumvi tumia chumvi maweAiseeee! Wacha nifanye kautafiti kwa hii
mhBila samahani, tuma picha tuone, au Nenda hospitali au ukate hapo penye rangi nyeupe umpe nyenyere ale,
Kweli Mkuu, huwezi kuomba Ushauri Kwa aina ya ugonjwa alionao mtoa mada bila kuombwa picha.Binadamu huwa tunatofautiana sana Mkuu.
Sema kwa hizi picha anazoombwa ni dhahiri atajiongeza na kuona bora akamuonyeshe daktari pekee.
Bila picha huu Uzi ni batili..Na wewe unataka picha
Picha mnataka aende kunfwata afandee eeh mmhKweli Mkuu, huwezi kuomba Ushauri Kwa aina ya ugonjwa alionao mtoa mada bila kuombwa picha.
Hata kama hatujuani lakini ni aibu kutuma private nudes humu, ndiyo maana hata kule Whatsapp watu wanatumiana Kwa kuweka view once 🙌
enda ilifinyiwa kwa ndani!Hakuna afyaaà hapoo apake kitunguu swaumu na mkojo wake wa asbh changanya na chumvi nikopale kwa masawe