Uume wangu una rangi nyeupe na nyeusi ila penye nyeupe panauma naomba ushauri

2000 nikiwa coet mliman kuna watoto wa twanga pepeta bana walikuja kupiga kama waliokuwa wakubwa enzihizo vile vitoto vilikuwa vinakatika nyokoo hatareee sasaa ilipofika saa saba usiku wakapewa mapumziko wlaipiga nkrumah

Nawajuà watoto wa 3 wanakaa maeneo ya kmra nkawaita tukaende Hall 2 piga story kufika wakaja washikaji wa nxty rum wakawapenda kweli

Kamoja kalikuwa na majasho hatare sema nafanyaje wako kwa kakayao

Jamaa wakabeba wawili wakaingia navyo chumban uwiiii kutokaaa hukoo mmmoja analalamika ulimi unauma unawashaaa balaaaa

Aisee kuamka asbhnusu ya shavu limekuwa jeupeè na jamaa n mweusi

Tuliojua kilichoendelea tulicheka sana jamaaa alihangaika kila kona wapi tukamwita cheusiiiii chekundu
.sasa nawaza na wewe ulikutana na hii mizigoo nn ikakubadilisha rangi??
 
Yaaan picha naziogopaa kiasichakwamba jana fb nimefuta mpaka za marehemu mama nkaona mmh

Juzi kuna mjinga anasambaza vid ya mwanayanga anado yaan nilimblock nkamfuta kwenye hiidunia labda aje kivingine nkahisi wasioju tumeanza kutafutana nn
 
Sem mzee pole.ila nend mahala hucka,wai umuone daktar.Duh! Zebra zinafutika barabaran zinahamia huko
 
Wewe Ni mgonjwa, Tena mgonjwa wa gonjwa la zinaa. Tulipokua boarding enzi zile Kuna mwenzako naye ilianza hivyo, akapuuza, baadaye ukiingia chumba anacholala unasikia Kama Kuna panya amekufa, kumbe Ni abdala kichwa wazi alikua anaendelea kuteketea kwa kuoza.
Yaani mb**00 ilikua inasambaratika. Alipewa suspension akatibiwe kwao huko Moshi.
 
Ukiendelea kupuuza na kutusikiliza sisi ambao sio wataalam utakuja kua hanithi. Yaani mademu watakua wanakutania mpaka Basi maana huna Cha kuwafanya.
 
2000 nikiwa coet mliman kuna watoto wa twanga pepeta bana walikuja kupiga kama waliokuwa wakubwa enzihizo vile vitoto vilikuwa vinakatika nyokoo hatareee sasaa ilipofika saa saba usiku wakapewa mapumziko wlaipiga nkrumah

Nawajuà watoto wa 3 wanakaa maeneo ya kmra nkawaita tukaende Hall 2 piga story kufika wakaja washikaji wa nxty rum wakawapenda kweli

Kamoja kalikuwa na majasho hatare sema nafanyaje wako kwa kakayao

Jamaa wakabeba wawili wakaingia navyo chumban uwiiii kutokaaa hukoo mmmoja analalamika ulimi unauma unawashaaa balaaaa

Aisee kuamka asbhnusu ya shavu limekuwa jeupeè na jamaa n mweusi

Tuliojua kilichoendelea tulicheka sana jamaaa alihangaika kila kona wapi tukamwita cheusiiiii chekundu
.sasa nawaza na wewe ulikutana na hii mizigoo nn ikakubadilisha rangi??
Yani wewe ni University graduate? Kwa uandishi huu hata wewe mwenyewe unaelewa umeandika nini kweli?
 
Pale mlimani Kuna kozi tofauti kuanzia certificate, diploma, degree, PGD, Mpaka Kama hiyo yako.
Dogo atakua Ni wale wauza mikate sema washikaji walimruhusu kulala hall 5 Mara moja moja
 
Pichaa iko wapiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushakua pundamilia mkuu shukuru umekua punda dume ungekua jiko ungeukoma
 
Back
Top Bottom