Uume wangu unasinyaa sana, unarudi ndani mno kinabakia kichwa tu

Uume wangu unasinyaa sana, unarudi ndani mno kinabakia kichwa tu

Asanteni wote kwa ushauri,nimeshapima magonjwa ya zinaa Mara tatu lakini sina kabisa maambukizi yoyote.naombeni mnielekeze hospitali nzuri ambapo nitapatiwa huduma nzuri.
Nenda agha kan utaonana nadaktar wa urology muhind Akbar zahri huyu mkuu kiswahili chakuunga unga jiandae kutema ung'eng'e
Au nenda TUMAINI yupo Prof Yongolo ni urologist.
 
Mkuu ni PM kwa maelezo zaidi
Haifai kukwambia humu
Hii ni kwa faida yako
Wacha tu kitovu kukuvuta kila unapojisaidia haja kubwa kitovu kinavuta huku unakojoa mkojo na unamwaga sperms kwa mchanganyiko
Asee pole saaana
Naomba uni PM kwa maelezo zaidi
Mkuu ni nashida kama yako nanimepita kwa hao ila sjapata ufumbuzi maana skuonekana ugonjwa wowote.ukifanikisha tiba tujuzane
 
Mkuu ni nashida kama yako nanimepita kwa hao ila sjapata ufumbuzi maana skuonekana ugonjwa wowote.ukifanikisha tiba tujuzane

Mkuu namshkuru mungu mimi ni mzima wa Afya kabisa,na utaaluma wa mambo haya ndio
Maana nikakwambia njoo PM ili nikupe msaada zaidi wa ushauri
Au kama upo tayari sema nikuelezee hapa hapa mbele ya kadamnasi
 
Habari za hapa ndani wakuu,nimepatwa na tatizo na ni muda mrefu sasa tangu nasumbuliwa na hii kitu.ni kwamba uume wangu,,yaani mboo inasinyaa sana inarudi ndani mno kinabakia kichwa tuu.nimeoa mwaka Jana Ila naona nampa sana wife tabu maana napiga kimoja halafu sins hamu kabisa ya tendo.

Mbaya zaidi simalizi dakika tatu nishapizz.kuhusu nyeto sijawahi kupiga hiyo kitu.pili nikiwa darasa LA kwanza nlicheza mchezo wa kibabababa nakumbuka tulikuwa tunaishi jirani na kabinti kamoja kadogo dogo tulikuwa tunakichila nikapatwa na ugonjwa flan mboo ikawa inatoa toa usaha kwenye govi ila ilipona yenyewe na haikuchukua muda.ilikuwa miaka ya 1997.

Kwa kweli natia huruma maana pia maisha yangu ni mazoezi matupu sina cha kunidekeza wala kujilegeza.

Msaada
Pole sana ndugu huenda maambukizi ya zinaa yamechangia. Tafuta tiba mbadala utapona tu
 
Mkuu kama upo Dar es Salaam nenda Regency aisee pale watagundua tatizo lako, ukishakutana na Dr utaanza naye upya atakuambia ukapime vipimo halaf yy atagundu hata kama umefichika vp huo ugonjwa watauona. Lakin sasa Regency pako expensive lakin ni heri maana utapata matibabi na kupona na kusahau huo ugonjwa kabisa.

Kuna hyo Regency ambayo ipo Upanga, kuna TMJ ipo pale Mikocheni, kuna Sanitas ipo pale mikocheni hizo zotee ni nzuri mnoo wana vipimo vizuri mno na madaktari bingwa wazuri.
Mkuu nashukuru sana,ila naomba kukuuliza kama wanapokea bima za afya NHIF.
 
Mkuu namshkuru mungu mimi ni mzima wa Afya kabisa,na utaaluma wa mambo haya ndio
Maana nikakwambia njoo PM ili nikupe msaada zaidi wa ushauri
Au kama upo tayari sema nikuelezee hapa hapa mbele ya kadamnasi
Mkuu ni bora ukaeleza hapahapa kwa faida ya vizazi vinavyokuja
 
Mkuu ni PM kwa maelezo zaidi
Haifai kukwambia humu
Hii ni kwa faida yako
Wacha tu kitovu kukuvuta kila unapojisaidia haja kubwa kitovu kinavuta huku unakojoa mkojo na unamwaga sperms kwa mchanganyiko
Asee pole saaana
Naomba uni PM kwa maelezo zaidi
Samahani mkuu wewe umejuaje hayo yote yanamsibu mleta mada?
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Mkuu namshkuru mungu mimi ni mzima wa Afya kabisa,na utaaluma wa mambo haya ndio
Maana nikakwambia njoo PM ili nikupe msaada zaidi wa ushauri
Au kama upo tayari sema nikuelezee hapa hapa mbele ya kadamnasi

Toroka Uje Mjini

Fanya hivi: kama una utaalamu basi umwage hapa kwa faida ya wanajukwaa. labda kama unafanya biashara ndo mwende pembeni.

salalanja
 
Kulingana Na Hizi Nyuzi Zako Wewe Ni Wazi Kuwa Ni Mtafuta Comments na Likes tu Huna lolote.

Mke wangu hanitaki - JamiiForums

Magari ya Serikali yamekuwa ya Abiria - JamiiForums
Kwa umri huu siwezi kuwa mtafuta like....Mimi sio MTU wa maringo na kujikweza hayo ndio matatizo yanayonihusu.kiujumla nahitaji msaada wa haraka.kama huna moyo wa kusaidia au huna ujuacho basi nakuomba tuu utulie maana hapa sichekeshi wala sitanii.hivi hapo kuna kitu au comment yoyote ya kutafuta like???
 
Mkuu Fanya sana mazoezi ya pushup na kuchuchumaa na unainuka itakusaidia sana,pia unaweza fanya mazoezi ya kurukaruka ukiwa uchi yani uume uwe free hii itasaidia kulefusha uume wako.
Aisee mazoezi ya kuruka ruka ukiwa uchi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom