malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Nenda agha kan utaonana nadaktar wa urology muhind Akbar zahri huyu mkuu kiswahili chakuunga unga jiandae kutema ung'eng'eAsanteni wote kwa ushauri,nimeshapima magonjwa ya zinaa Mara tatu lakini sina kabisa maambukizi yoyote.naombeni mnielekeze hospitali nzuri ambapo nitapatiwa huduma nzuri.
Au nenda TUMAINI yupo Prof Yongolo ni urologist.