Uume wangu unatoa usaha

Uume wangu unatoa usaha

Gono bila shaka, umegonga besela Mzee baba..
Pole,.
ila wahi hosp haraka uwezavyo,
Aliyekuambukiza nae kaambukizwa siku si nying, kwahiyo sio muaminifu, na aliyemuambikiza huyo msichana wako nae aliambukizwa siku si nying,.dah! kwa hii chain kutopata HIV ni bahati tu。
Mungu atusaidie
 
Wahi hospital kabka haujakatika jamaaa
 
Enzi zetu ilikuwa uje na mpenzi wako niwatibu kwa pamoja. Ila napata wasiwasi miaka hii cjui hata kama unamjua aliyekuambukiza huo ugonjwa
 
em ngoja nifatilie uzi zilizopita za mtoa mada usikute aliwahi kuandika ameopoa demu mkali mwenye chuuuuuuuraaaaaaaa
 
kama walivyokushauri ma Docta wenzangu hapo juu, sasa utaamua Mwenyewe
 
Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
Utakuwa na BACTERIA INFECTION (Highly probable STD) so unatakiwa utumie dawa za ANTIBIOTIC haraka kabla tatizo halijawa severe.

[emoji818] Nenda DLDM/Pharmacy wakupe AZITHROMYCIN TABLETS 500mg od 3/7
 
  • Thanks
Reactions: mob
Kama unasikiaga kisonono ndo hicho, halafu kinaenda na mwamaume kusikia msisimko sana wa mapenzi ili uambukize wengine. Kama kuna mwanamke ulilala nae usimrudie mpaka atibiwe kwanza. TAHADHARI kwa kipindi hiki uwezekano wa kupata maambukizi ya UKIMWI ni 100% chukua tahadhari kubwa kutofanya mapenzi mpaka upone, kwa ujumla inaonyesha huwa unafanya unprotected sex, Kuwa makini sana . Nakushauri uende hosipitali huo ugonjwa unatibika kilahisi sana ukiwahi kupata matibabu.Ufue nguo zote ulizokojolea na maji moto chupi zote na usikose kunyoosha suruwali ulizotumia.
Na kwann asiokoke!?
 
Gono ilo tiyar mzeya kunasehm umepita peku nenda hospt ukatibiwe
 
Back
Top Bottom