NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,240
- 1,680
Nilimwona alinunua akakamia mechi.usimwambie mtu[emoji1] [emoji2] [emoji1]Kaswende hiyo mkuu kamuone dokta. Kampime na ulieuza nae mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimwona alinunua akakamia mechi.usimwambie mtu[emoji1] [emoji2] [emoji1]Kaswende hiyo mkuu kamuone dokta. Kampime na ulieuza nae mechi
Mara ya mwisho kuvunja amri ya sita ni Lin?Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
Dah! pole sana mkuu kama nakuona siku si nyingi utakavyokuwa umependeza ndani ya sanduku tukikuaga.Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
Utakuwa na BACTERIA INFECTION (Highly probable STD) so unatakiwa utumie dawa za ANTIBIOTIC haraka kabla tatizo halijawa severe.Naomba ushauri uume wangu unatoa usaha tatzo nini jamani ???
Mwenye mada kapoteaMara ya mwisho kuvunja amri ya sita ni Lin?
Na kwann asiokoke!?Kama unasikiaga kisonono ndo hicho, halafu kinaenda na mwamaume kusikia msisimko sana wa mapenzi ili uambukize wengine. Kama kuna mwanamke ulilala nae usimrudie mpaka atibiwe kwanza. TAHADHARI kwa kipindi hiki uwezekano wa kupata maambukizi ya UKIMWI ni 100% chukua tahadhari kubwa kutofanya mapenzi mpaka upone, kwa ujumla inaonyesha huwa unafanya unprotected sex, Kuwa makini sana . Nakushauri uende hosipitali huo ugonjwa unatibika kilahisi sana ukiwahi kupata matibabu.Ufue nguo zote ulizokojolea na maji moto chupi zote na usikose kunyoosha suruwali ulizotumia.