johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamkabidhi Joseph Magufuli kwa niaba ya familia.Watazipeleka pale Chato kama rambirambi...
Kwani walizipokelea Ufipa?Watazirudisha wapi lumumba?
Aisee...Wataenda kuongezea zege kwenye kaburi lake ili ata siku ya ufufuko ashindwe kutoka afe Tena. Ikiwezekana resho ya sementi waeke Kali sana yani mifuko 2 ya sementi kwa ndoo 5 za mchanga
Wewe ni mke wa ngapi kwa king?Pamoja na kujifungua mtoto uliyepewa mimba na mbowe bado unamuwaza tu mukuu?
Faller wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe ni mke wa ngapi kwa king?
52!!
Hahahaaaa.... .!Faller wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndalichako amechemka!Umesikia mtaala mpya wa somo la historia alilopigia upatu bwana yule ili asomwe vidato vyote kuanzia chekechea limefutwa?