Uungwana: Wabunge wa CHADEMA waliomaliza muda wao watoa shukrani kwa chama chao na wapiga kura wao

Uungwana: Wabunge wa CHADEMA waliomaliza muda wao watoa shukrani kwa chama chao na wapiga kura wao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Instagram media - CBlKFIwJA67 ( 640 X 640 ).jpg


Huyu anaitwa Mh Lucy Owenya aliyekuwa Mbunge wa viti maalum , huyu ni miongoni mwa wengi walioshinda tamaa ya kujiuza na kumalizia kipindi chao cha ubunge kwa kishindo.

Ni mmoja kati ya wote waliotoa shukrani kwa chama chao na wananchi .
 
Tunahitaji wajenga hoja sio watoa matusi km kina lissu mdee and the likely
Ni kweli, usitegemee bunge la makondoo kuwe na lugha za kishujaa, wote watakuwa ni hao wa "umekula ndio, una njaa ndio".
 
Hana mtaji hiyo, tunataka walioingia bungeni kwa kuchaguliwa na wananchi
 
Tunahitaji wajenga hoja sio watoa matusi km kina lissu mdee and the likely

Wajenga hoja kwa vigezo vya kiccm? Slaa kabla ya kuhama kwa makosa ya cdm, alikuwa anaitwa padre mzinzi, kiwanda cha uongo na mwenye uchu wa madaraka. Baada ya kuondoka cdm na kutoiumiza tena ccm, sasa hivi kila mwanaccm anampaka mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa alikuwa mjenga hoja mzuri! Tunaufahamu unafiki wenu A-Z, na tunajua hoja kwenu ni zile za kumsifia Magufuli hadi kumuita Yesu. Kama unatarajia wabunge wa cdm wajenge hoja za hivyo utasubiri sana, maana tunajua fika nyie ni wanafiki wenye madaraka, na mnatumia ukondoo wa watanzania kuwaongoza kwa shuruti.
 
Huyo ndio mmoja wa wale waliokubali madhila ya mwenyekiti
 
View attachment 1482612

Huyu anaitwa Mh Lucy Owenya aliyekuwa Mbunge wa viti maalum , huyu ni miongoni mwa wengi walioshinda tamaa ya kujiuza na kumalizia kipindi chao cha ubunge kwa kishindo.

Ni mmoja kati ya wote waliotoa shukrani kwa chama chao na wananchi .
waligawana vyeo na baba yake mzee ndesamburo.mzee ndesamburo mbunge na lucy mbunge viti maalumu,mbowe mbunge hawara yake mukya mbunge viti maalumu,tundu lisu mbunge dada yake mbunge viti maalumu chadema mnatisha!!! hapo ashukuru wapiga kura au baba yake ndesamburo?

Ana wapiga kura gani wa kushukuru? mfano Joyce Mukya anao wapiga kura wepi wa kushukuru zaidi ya kumshukuru mbowe hawara yake?
 
Back
Top Bottom