Uungwana: Wabunge wa CHADEMA waliomaliza muda wao watoa shukrani kwa chama chao na wapiga kura wao

waligawana vyeo na baba yake mzee ndesamburo.mzee ndesamburo mbunge na lucy mbunge viti maalumu,mbowe mbunge hawara yake mukya mbunge viti maalumu,tundu lisu mbunge dada yake mbunge viti maalumu chadema mnatisha!!! hapo ashukuru wapiga kura au baba yake ndesamburo?

Ana wapiga kura gani wa kushukuru? mfano Joyce Mukya anao wapiga kura wepi wa kushukuru zaidi ya kumshukuru mbowe hawara yake?
Huna hoja
 
Umetisha
 
Hawezi kukujibu
 
What about ccm baba, mama, watoto -example Jk, Mwinyi, Malechela, Mongela, Mnauye/Nape, Makamba na mwanaye! Just a few examples!!!!! Ama ni halali kwao??
 
Nawahurumia maana ubunge ndio imeisha
kwani wao hawakuwapumzisha wenzao kwa kupita wao, zam kwa zam akichaguliwa poa wakichaguliwa wengine poa kwani si wanaenda kufanya kilekile😎😎
 
Back
Top Bottom