Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nawahurumia maana ubunge ndio imeisha
Ubunge ni kazi ya kudumu?
Ubunge ni kazi ya kudumu?
Wengi wanapendelea irudie ubunge
Hamjitambui, ndiyo maana mpo tayari kuwadhurumu watu haki zao za kuishi kisa madaraka
Wengi wanapendelea irudie ubunge
Wasiojitambua ni hao wanatukana hovyo
No more abusing language next bunge
Ni kweli, usitegemee bunge la makondoo kuwe na lugha za kishujaa, wote watakuwa ni hao wa "umekula ndio, una njaa ndio".
Au tunahitaji wagonga mezaTunahitaji wajenga hoja sio watoa matusi km kina lissu mdee and the likely
Tunahitaji wajenga hoja sio watoa matusi km kina lissu mdee and the likely
Wanakufa na tai shingoniNawahurumia maana ubunge ndio imeisha
waligawana vyeo na baba yake mzee ndesamburo.mzee ndesamburo mbunge na lucy mbunge viti maalumu,mbowe mbunge hawara yake mukya mbunge viti maalumu,tundu lisu mbunge dada yake mbunge viti maalumu chadema mnatisha!!! hapo ashukuru wapiga kura au baba yake ndesamburo?View attachment 1482612
Huyu anaitwa Mh Lucy Owenya aliyekuwa Mbunge wa viti maalum , huyu ni miongoni mwa wengi walioshinda tamaa ya kujiuza na kumalizia kipindi chao cha ubunge kwa kishindo.
Ni mmoja kati ya wote waliotoa shukrani kwa chama chao na wananchi .