Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Eti wana CC,hivi mtu aliye zaliwa akiwa na kilema fulani,anaweza kugeuzwa mzima?
Eti,kuna watu MUNGU kawaumba na kipaji cha upumbavu?
Eti,mtu akikutisha kwa utaalamu wake wa giza ni bora ufanye nini?
Eti inawezekana siku moja sikio likakua na kuzidi kichwa urefu?
JUST ASKING#
Siku njema kwenu woote.