Uuuuwiiiiii!!!INACHEKESHA!!

Uuuuwiiiiii!!!INACHEKESHA!!

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,752
Reaction score
1,311
Eti wana CC,hivi mtu aliye zaliwa akiwa na kilema fulani,anaweza kugeuzwa mzima?
Eti,kuna watu MUNGU kawaumba na kipaji cha upumbavu?
Eti,mtu akikutisha kwa utaalamu wake wa giza ni bora ufanye nini?
Eti inawezekana siku moja sikio likakua na kuzidi kichwa urefu?
JUST ASKING#
Siku njema kwenu woote.
 
Tia mimba binti wa Mzee Sikalumba wa huko Lyamba lya Mfipa uone kama nanihiii zako zile mbili( °|° ) hazijaamishiwa kidevuni...na ndevu kugeuzwa mavyuzi kwa muda...
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Instagram%20media%20-%20BrzN4BWAKuJ.jpeg
 
Nimekuja mbio nusu nijikwae nlvyoona hyo "uwiiiiiiii" ila imenibid nigeuze tu nielekee jamii intelligence
 
Back
Top Bottom