Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)

Uamuzi wa kuziuza ni jambo moja na kuziuza kinyume cha sheria kwa maslahi ya ndugu na michepuko ni jambo jingine.
TBA ndo ilikuwa na mamlaka ya kuziuza na siyo Waziri
Sawa nakubali,kama hakufuata sheria katika kuziuza alaumiwe kwa hilo.Kama ulivyosema, kufanya maamuzi ya kuziuza na kutokufuata sheria katika mauzo ni mambo mawili tofauti kabisa.
 

Duuh haya wee
 
Kweli JIWE ni Mzalendo Tuendelee Kuuombea.
 
Mrembo wa kisukuma alikuwa kimada/hawara wa bugiri wakati wote wako ndani ya ndoa na walizaa mtoto mmoja na hatimaye ndoa ya bidada ikavunjika. Alihongwa nyumba moja kati ya nyumba alizokwapua bugiri. Sasa hivi inadaiwa bugiri kampa huyo hawara yake cheo kikubwa pale madini.

ndo Nani uyo
 
Bugiri CHATTLE ni Mzalendo wa Kweli #Mwendo_wa_Kusifu_Kama_Chakubanga.
 
Unapofurahisha Ni pale nafsi inapokusuta kila ukijaribu kutafuta namna ya kumtetea kuwa sio fisadi.
Tukubaliane hapa kwanza kabla hatujadanganyana kuhusu Vita ya ufisadi. Bado mbeleni yatafukuliwa ya damu alizokunywa
Si uhame nchi utupishe ukaishi kwenye taifa unaloona linakufaa! na yakishakushinda huko ukagundua ni afadhari nchi yako na uongozi wako pia usirudi tafuta sehemu nyingine ya kwenda uwe mzurulaji mpaka ufie mabarabarani
 
Dotto James Mgosha ndiye huyu aliyezawadiwa usimamizi fedha za nchi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…