Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Sawa nakubali,kama hakufuata sheria katika kuziuza alaumiwe kwa hilo.Kama ulivyosema, kufanya maamuzi ya kuziuza na kutokufuata sheria katika mauzo ni mambo mawili tofauti kabisa.Uamuzi wa kuziuza ni jambo moja na kuziuza kinyume cha sheria kwa maslahi ya ndugu na michepuko ni jambo jingine.
TBA ndo ilikuwa na mamlaka ya kuziuza na siyo Waziri