britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
CCM ni rushwa tupu, Mzee wa Kifua Kipan katajirika hadi atatapika.Mtangazaji wa Planet Bongo - Dulla haha 😆 lakin na hisi kama wasema huyo ni wa zamani
UV naniriyuu - UV CCM
Shemeji - Mchengerwa
Kuoza - Rushwa
Biashara naijua hiyo na wamekomaa kabisa sasa watunishiane misuli
Kama kweli vile
Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa
Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani.
Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa kumla mdogo na huna cha kumfanya mkubwa
Wote wameoza Ila huyo Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo ndo kaoza zaidi
Britanicca
Siyo bure, moto unawaka chini kwa chini ndani ya chama dola.Uv naniriyu wamemvimbia mkwe. Sijui wameupata wapi ujasiri hawa vijana.
Huu utakuwa ni moto wa pumba. Kwa wakazi wa Ifakara Mkoani Morogoro wanaufahamu sana moto wa aina hii wa pumba za mpunga.Siyo bure, moto unawaka chini kwa chini ndani ya chama dola.
Huo moto ni balaa, hauzimiki hata ukitia maji.Huu utakuwa ni moto wa pumba. Kwa wakazi wa Ifakara Mkoani Morogoro wanaufahamu sana moto wa aina hii wa pumba za mpunga.
Na ukijaribu kuukanyaga moto wa pumba balaa lake ni kama hili lililomkuta mkwe.Huo moto ni balaa, hauzimiki hata ukitia maji.
Wanajua mama mkwe ni mgonjwa sidhani kama ataamka aje afanye maamuziUv naniriyu wamemvimbia mkwe. Sijui wameupata wapi ujasiri hawa vijana.
Mtangazaji wa Planet Bongo ni Abdul 🤣Kam Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo ndo kaoza zaidi
Britanicca
Huwa unaogopa nini hadi kupelekea kuandika kijingajinga hiviKama kweli vile
Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa
Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani.
Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa kumla mdogo na huna cha kumfanya mkubwa
Wote wameoza Ila huyo Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo ndo kaoza zaidi
Britanicca
Anageza jina la Mtangazaji Maarufu wa zamani wa Planet BongoHapo kwenye mtangazaji wa planet bongo ndiyo panafanya niunge unge uzi mzima
Kama kweli vile
Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa
Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani.
Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa kumla mdogo na huna cha kumfanya mkubwa
Wote wameoza Ila huyo Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo ndo kaoza zaidi
Britanicca
Halafu shemeji analia rushwa, wakati yeye ndo mla rushwa.Shemeji wa mtangazaji wakati akiwa kwenye kiti cha serikali za mitaa alikua anajaza jamaa, ndugu na marafiki zake tu kwenye udedi na udc na udas.
Wote hao wamekua wanapambana kumchukulia mpunga kwenye halmashauri wengine wanamjengea hadi majumba na kumnunulia viwanja.
Na haikuwa na ulazima maana ni so obviousCode ya leo nyepesi sana mkuu