UV naniriyu wagoma kuwa upande wa Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo

UV naniriyu wagoma kuwa upande wa Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo

Wote tu wala rushwa wakubwa wanatoleana siri za chumbani kwao! Ndio maana kale kakijana kamesema wakakae chumbani wamalizane! Ukoo mzima ni rushwa wanaiishi tangu chipukizini hadi wanakuwa wazee uteuzini, ukiona msisiemu anang’aka ujue tu ulaji na upigaji umetishiwa

Na wapo tayari kuua muda wowote
 
Shemeji wa mtangazaji wakati akiwa kwenye kiti cha serikali za mitaa alikua anajaza jamaa, ndugu na marafiki zake tu kwenye udedi na udc na udas.
Wote hao wamekua wanapambana kumchukulia mpunga kwenye halmashauri wengine wanamjengea hadi majumba na kumnunulia viwanja.
'Udedi, udc na udas!'
Dah!
 
Halafu shemeji analia rushwa, wakati yeye ndo mla rushwa.
TAKUKURU wako usingizi wa pono

Hamna asiyekula rushwa sisiemuni, na wote wanaanzia kujifunzia uvisisiemuni, mchngerwa mwenyewe alianzia hukohuko uvisisiemuni akaqualify na kupanda juu na ujuzi wa kula sana! Wanajifanya wanaumbuana sasa hivi wakati wote makambale tu na mandevu ya rushwa ukoo mzima
 
Mtangazaji wa Planet Bongo - Dulla haha 😆 lakin na hisi kama wasema huyo ni wa zamani
UV naniriyuu - UV CCM
Shemeji - Mchengerwa
Kuoza - Rushwa
Biashara naijua hiyo na wamekomaa kabisa sasa watunishiane misuli
Abduli
mchengelwa
Uvcccm
 
Kama kweli vile

Ukishushwa leo na kuyasikia haya utasema uongozi si ndio huu sasa

Kumbe unaweza ukachimba ukakuta Mzee alitaka kuitumia UVnaniriyuu kwenye biashara wakamkatalia na akawaambia kuwa sasa nitawanyoosha mtanijua mimi ni nani.

Hii Dunia ina mambo sana ni mwendo wa Samaki mkubwa kumla mdogo na huna cha kumfanya mkubwa

Wote wameoza Ila huyo Shemeji wa mtangazaji wa Planet Bongo ndo kaoza zaidi

Britanicca
IMG-20260829-WA0027.jpg
 
Shem hatosheki kabisaa, acha waparuane wao kwa wao. Lol
 
Back
Top Bottom