King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Dulla wa Planet Bongo.Hapo kwenye mtangazaji wa planet bongo ndiyo panafanya niunge unge uzi mzima
Shemeji Kifua Kipana Mandonga Mtu Kazi atosheke sasa utajiri wote ule na bado anataka kuendelea kula? Ndiyo maana polepole alisema hawa jamaa hawali bali WANAHONDOLA na KUTAPAKANYA yaani ni ULAFI.