Uvaaji Kondomu uboreshwe

Uvaaji Kondomu uboreshwe

Nyinyi msivae ila kwa utafiti wangu uchwara kwa DSM kigamboni Temeke na kinondoni ukikutana na watu 7 wanne wapo kwenye matibabu ya ARV mmoja hajui hali yake wawili ni salama hii ni kwa mujbu wa utafiti wangu mdogo nlioufanya katika vituo vilivyopo izo sehem
 
Kama ni vituo vya kutolea huduma za afya, utafiti wako hauna uhalisia
 
Huwa naonaga ktk yale ma group ya telegram sex workers wana semaga wanatumia mafuta kupata utelezi wakidai una epusha michubuko. Na ona tabia imekubwa ni kubwa tayari ni TATIZO na linachochea maambukizi ya STDs

Ktk yale ma group ya telegram vijana wana mwagana mitindo tu
 
Kama ilivyo msisitizo katika kuvaa barakoa nashauri elimu itolewe uvaaji wa kondomu usisitizwe wakati wote kujiepusha na maambukizi japo unapunguza utelezi
Alafu zile condom alizobuni bwana mdogo mmoja ambazo alisema kuwa zikigusa papuchi yenye magonjwa inabadilika rangi lini zitakuwa mtaani?
 
Back
Top Bottom