Uvaaji Kondomu uboreshwe

Uvaaji Kondomu uboreshwe

Tuvae Condom, ni kwa faida ya nchi zaidi ya raha ya binafsi.

Lakini mapenzi yasiwe vita, anyway wale wa rough watakuja na hoja, ila rough iwe mmepima na mmefikia hatua fulani ya mahusiano. Mbali na hapo, lengo liwe kuridhishana na sio kukomoana.
 
Mimi nawaza kuwa naziongezea FAMILY PETROLIUM JELLY ili kuongeza utelezi. Kuna wakat ndomu ikikauka inakuwa Inalia FWOKO FWOKO FWOKO..Sasa mambo gan haya!!
Mkuu unaitumia vibaya kwa kweli ikikauka mimi napiga nyama chini, nachukua nyingine tena [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom