Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Ni kawaida sana kuvaa nusu uchi msibani sioni tatizo hapo. [emoji13] [emoji1]
 
Wadada wa mjini sehem kama hizo ndio wote wanajifanya marehem alikuwa rafiki yao wa karibu...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu nakubaliana na wewe, mimi pia sio wa dsm lkn baadhi ya watu wa mikoani wakija dar hasa ambao hawajitambua wanaiga vitu mpaka kuwapita wadaslam wenyewe na ndio kama ivi sasa unaenda kijijini tena msibani umevaa tight na mtandio mwepesi ili iweje , mambo ya dar ambayo hayafai kijijini yaishie dar, apa mjini watu wapo busy na mambo yao hakuna wakumind hata ukivaa upuuzi wako. lkn kijijini mambo sio km dar kwanini uwakwaze wazee wa watu? fanya mambo/pangilia mavazi yako kulingana na mazingira.
 
Wanawake wa Dar wamegeuza furusa kila penye mkusanyiko wa watu siku hizi, kwenye Makanisa ndio balaa tupu.
 
Hakuna Kapicha?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…