NB, Addidas,VansYour favourites brands please share
Nike Zoom x...Your favourites brands please share
Pale Dar free market kuna jamaa anauza Vans original 170k halafu hapo hapo kina jamaa anauza mtumba 250k ...yaani unabaki mdomo waziNB, Addidas,Vans
Sema inakera ukinunua OG bei afu unakuta mchina anauza af 60😀
No need to buy 'some' overpriced OGs
Footlocker Africa hakuna nadhani...Kuna franchise moja yaitwa Footlocker wanauza sneakers/raba kama zote ila beii🙌🏽waah..maybe selected items only
Otherwise thanks China
Mtumba 250k na Original Mpya 170kPale Dar free market kuna jamaa anauza Vans original 170k halafu hapo hapo kina jamaa anauza mtumba 250k ...yaani unabaki mdomo wazi