Uvaaji wa Bikini unazeesha sana na haraka Uke

Jina tena mkuu?! Anaitwa Professor Mfaransa
Hizo ni hekaya za mleta mada Mkuu nilitaka nikaupitie huo utafiti kwa sababu ya utafiti ninao ufanya.. Kuuliza kwangu nikaishia kugeuzwa mwanamke
 


Mmmmh! Mbona mimi patagi hiyo UTI
 
Mimi mbona sivaagi pichu na niko fresh, hiyo hewa ni ipi hiyo
 
Raha yabikini huinataji kuivua ili ule papuchi unaisogeza bemben mchezo unanza
 
sikubaliani na huyo prof kwan ata mm naweza nikafanya utafiti na kuweka uzi hewan kwa kisingizio cha uprof lakn mtoa mada inaonekana katunga mwenyew kwa kisingizio cha prof
 
Nikikutana na mvaa kamba hizo huwa sijiamini naona kama nachezea kiberiti kwenye petrol!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…