issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
hata sijawahi kuziona hizo ndude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Prof hana jina?
Hizo ni hekaya za mleta mada Mkuu nilitaka nikaupitie huo utafiti kwa sababu ya utafiti ninao ufanya.. Kuuliza kwangu nikaishia kugeuzwa mwanamkeJina tena mkuu?! Anaitwa Professor Mfaransa
Hizo ni hekaya za mleta mada Mkuu nilitaka nikaupitie huo utafiti kwa sababu ya utafiti ninao ufanya.. Kuuliza kwangu nikaishia kugeuzwa mwanamke
Ninachoweza kuchangia kwa hili la uvaaji wa bikini ni uwezekano mkubwa wa kupata UTI.
UTI huambukizwa sana na uchafu wa kinyesi ukiingia njia ya mkojo. Anayevaa bikini, kile kipande chake huingia na kusugua sehemu za haja kubwa na ndogo, kutwa katika mihangaiko na mishughuliko ya aliyevaa. Uwezakano wa uchafu wa sehemu hizo kuingiliana ni mkubwa sana.
NimekumissProfessor mfaransa nae ana mambo!
Na una Rift valley nzuuuri ...[emoji106]bikini inaumiza sana bonde la ufa. nilishindwa kabisa kuzivaa. kidogo inikate rift valley yangu ni mateso makubwa wavae tu vimbao mbao
Bujumbura"Ukomavu uliotukuka"....
Bhac wazungu watakua na huo ukomavu uliotukuka.
Mie wa Manyovu huku ntazipata wapi hizo bikini?
Morning Princess rubiiMmmmh! Mbona mimi patagi hiyo UTI
Mhhh,,,,,,,,!!!!????bikini inaumiza sana bonde la ufa. nilishindwa kabisa kuzivaa. kidogo inikate rift valley yangu ni mateso makubwa wavae tu vimbao mbao