dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Duuuh!Tupate elimu kwa picha hizi nadhari hazifikishi elimu kwa msomaji vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!Tupate elimu kwa picha hizi nadhari hazifikishi elimu kwa msomaji vizuri.
Napata tabu kujiuliza huyo proffesa alofananisha mbunye na nyama choma ni proffesa kweli au Bashite?Professor mmoja wa Kifaransa huko Jijini Paris na ambaye pia ni Mtafiti wa Magonjwa ya akina Mama amesema kuwa uvaaji wa Nguo za ndani Chupi aina ya Bikini kwa akina Dada / Mama huathiri kwa kiasi kikubwa sana Uke / Mbunye zao kwa Kuzizeesha na kuzitengenezea Usugu / Ukomavu fulani hivi uliotukuka.
Professor huyo ameenda mbali zaidi na kusema kuwa katika Utafiti wake kwa akina Dada wengi wao wamekuwa wakilalamika kuwa Marafiki / Mabwana zao wamepunguza hamu ya kufanya nao Mapenzi tokea walipoanza kununua hizo aina za Chupi na kwamba hali hii inawaharibu mno Kisaikolojia.
Professor huyo Mfaransa akasema kuwa sababu kubwa ya Uke / Mbunye nyingi za akina Dada / Mama wanaopendelea kuvaa Bikini kuwa Nzee / Sugu / Zimekomaa ni kwasababu Mwanamke akivaa hizo Bikini huacha sehemu kubwa na hewa kupita kiurahisi na hata Bacteria huweza kupenya kirahisi hivyo kuziathiri Mbunye kwa kiasi kikubwa sana.
Professor huyo Mfaransa ameshauri akina Dada wapendelee sana kuvalia zile chupi zao za zamani ambazo ni pana na zimepimwa kiviwango vyote ili waweze kulinda Mbunye zao kwani Mbunye ikiwa imefunikwa kwa muda mrefu inakuwa tamu kama vile nyama ya kuchoma ambayo ikifunikwa katika Jiko kwa muda mrefu ukija kuitoa na kuila inakuwa tamu sana na kukupa mvuto.
Kila la kheri Dada na Mama zetu wa Kitanzania Mfaransa huyo ameshawapa maujanja hivyo kuanzia sasa mnapoona mnajitahidi kuzivaa hizo Bikini zenu halafu sisi Wapenzi wenu tunashindwa kuwapeni ushirikiano wa Kutukuka wa Kuwabandueni na tunaenda Kubandua nje msiwe mnalalamika kwani Professor wa Kifaransa ameshatoa majibu mujarab kabisa.
Nawasilisha.
Kifuniko cha asaliHivi Dada zetu wa Kimasai huwa wanavaa kitunza mbunye?