Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

mkuu huku watoto wengi mtu analazimisha eti mimi ni wa kiume najifanya wa kike asa if nilishawai kumuomba kitu! mimi nimetoa mada changia point huwezi kaa kimya ooh mimi ni fake wakati mwenyewe anatumia fake identity hapa kumbe huku jf watoto ni wengi leo nimejua
Hapana hakuna utoto suala ni kwamba mwanaume mzima kwa nini ujifananishe na mke, unatafuta nini? Jiangalie we jamaa hayo malinda shauri yako
 
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.

Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana nikampa. Asubuhi kanionesha ameivaa nikamuuliza umefua saa ngapi akaniambia chupi mpya unafua kwanini?

Huyu mama ni msomi na kaishi mbele miaka mingi tu kwahiyo anajua mambo mengi. Je chupi mpya haifuliwi?
Thread haijakaa sawa. ungeandika "je, chupi mpya ni sawa kuvaa kabla ya kufua?"
 
ID zote za miss Natafuta leo zipo ndani ya uzi huu huu kujitetea na kurudisha watu online wacomment mada ya kwenye uzi moja kwa moja
 
Miss Natafuta ni mwanamke, hadi kwao nilishapita, andaeni michango ya harusi.
 
Miss Natafuta ni member maarufu sana humu Jf sana sana uzuri zaidi mimi namjua kitambo sana..Rudi kwenye post za mwanzoni mwanzoni kwenye huu uzi utamuona jinsi alivyotaka kurudisha watu waendelee kurudi kucoment uzi anawakwepesha watu wasimuandame kwa Id yake ya Miss Natafuta..ID zote za miss Natafuta leo zipo ndani ya uzi huu huu kujitetea na kurudisha watu online wacomment mada ya kwenye uzi moja kwa moja
ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena
Miss Natafuta ni mwanamke, hadi kwao nilishapita, andaeni michango ya harusi.
mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
 
ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena

mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
Waache wachonge mama,asiyejua maana usimwambie maana
 
Kwa mara ya kwanza leo nime okota hela gizani....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mweeee.... ebu ukuje tuyajenge huku Ushirombo..[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Teh.. tuma miguu bathiii... Ushirombo mbali eti...
 
Back
Top Bottom