Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Hapana hakuna utoto suala ni kwamba mwanaume mzima kwa nini ujifananishe na mke, unatafuta nini? Jiangalie we jamaa hayo malinda shauri yako
 
Thread haijakaa sawa. ungeandika "je, chupi mpya ni sawa kuvaa kabla ya kufua?"
 
ID zote za miss Natafuta leo zipo ndani ya uzi huu huu kujitetea na kurudisha watu online wacomment mada ya kwenye uzi moja kwa moja
 
Miss Natafuta ni mwanamke, hadi kwao nilishapita, andaeni michango ya harusi.
 
ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena
Miss Natafuta ni mwanamke, hadi kwao nilishapita, andaeni michango ya harusi.
mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
 
ficha upumbavu wako! ulinijulia wapi kwa mfano? halafu nijitetee ili iweje naitaji nini kwako kwa mfano jiangalie kwanza? wanaonijua wapo tena

mkuu watasema hii ni id yangu ! hebu njoo pm mpenzi wangu nikuhug kabla sijalala babe
Waache wachonge mama,asiyejua maana usimwambie maana
 
Kwa mara ya kwanza leo nime okota hela gizani....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mweeee.... ebu ukuje tuyajenge huku Ushirombo..[emoji5] [emoji5] [emoji5]
Teh.. tuma miguu bathiii... Ushirombo mbali eti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…