Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Story ni tamu tena ni nzuri.
Ujumbe wake pia ni mzuri.
Umeiweka stori kikike kike imekataa[emoji23]

Nikirudi kwenye Mada: nguo special za dukani hakuna haja ya kuifua sababu inatoka moja kwa moja kiwandani. Lakini nguo za mtumba inabidi uifue tu hata kama ni tshirt unaweza kutoka vipele mwili mzima, fungus na majipu
 
Met wapi single mother huyu!!

Jana alikua ananiponda ma Engineer wote wachafu wa boxer isipokua boss wake....

Sasa cjui boss anavaa boxer na chupi at the same time....
Hehehe za kuku.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Met wapi single mother huyu!!

Jana alikua ananiponda ma Engineer wote wachafu wa boxer isipokua boss wake....

Sasa cjui boss anavaa boxer na chupi at the same time....
Hehehe za kuku.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mbona ana tuchanganya sasa
 
interesting.....
 
Demu ukimnunulia chupi asilimia kubwa atakuonyesha ilivyo mfit, then one thing leads to another!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…