Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Uvaaji wa chupi mpya kwa wanawake

Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.

Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana nikampa. Asubuhi kanionesha ameivaa nikamuuliza umefua saa ngapi akaniambia chupi mpya unafua kwanini?

Huyu mama ni msomi na kaishi mbele miaka mingi tu kwahiyo anajua mambo mengi. Je chupi mpya haifuliwi?
Miss natafuta acha tabia ya kununulia wanawake chupi zawadi ziko nyingi bana unaona hadi anaanza kukuonesha alivyo ivaaa
 
Mkuu unataka tusivae kabisa?
Siku hiz hawavai kabisaa baadhi yao yani tako tunaliona Live
dea114d2bef75350e5e8ae79f4db4304.jpg
 
Yes binafsi lazima niifue
SABABU KUBWA; kabla sijaichagua na kuinunua mimi ilishapitia kwenye mikono mbali mbali ya watengenezaji na wanunuzi hivyo basi kwa namna yoyote ilishikwa shikwa na pengine kudondoka chini kwa bahati mbaya etc na zaidi kipocho changu ni rahisi sana Ku respond magonjwa hivyo kinahitaji usafi making sana ambao mimi nauamini kuwa ni usafi sio upya wa kiwandani

Ok...
 
Kuna boss wangu wa kike ni rafiki yangu kiaina, ana roho nzuri sana na tunaelewana sana kiaina.

Alisafiri siku zilizopita kuna mtu akawa amepitisha chupi anauza nikamnunulia nae za kutosha jana nikampa. Asubuhi kanionesha ameivaa nikamuuliza umefua saa ngapi akaniambia chupi mpya unafua kwanini?

Huyu mama ni msomi na kaishi mbele miaka mingi tu kwahiyo anajua mambo mengi. Je chupi mpya haifuliwi?
Aaaaggghhhh confused, jinsia yako tafadhar kabla sijachangia
 
Mara nyingi sana hujichanganya,ana sahau, muongo lazima awe na kumbukumbu
Haiwezekani kuwa na kumbukumbu kwa sababu penye ukweli siku zote uongo hujotenga, mi nashangaa vipi mtu unajificha jinsia yako? Mi nadhani ukweli humuweka mtu huru Siku zote.
 
Back
Top Bottom