Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

Mimi ni bibi lakini kwa hili joto mtu asiniambie lolote. Tutaftie fan kwenye barabara tutavaa unachotaka othewise tuache tutavaa vitenge bila chochote chini, mabinti wetu watavaa vichupi na wajukuu watakaa uchi. Wanaume vaeni kaptula au chochote ili mradi makokolo yenu yapo safe. Dar haivaliki haisetiriki haiheshimiki hata kama sisi ni wakwe, wacha wanetu wavae chochote mi sijari joto kama Havana???? Angalia picha za havana na south America wamejificha uchi? Je inawapunguzia utu wao???
 
Heheheh atoto njoo unisaminishe, sijui ndo mguu wangu kama muwa wa mtibwa teh. Nyie kujiamini raha jamani teh teh

# teammbutananga#
 
Teh hivi maana ya mbutananga ni nini ??
Teh sijui ina maana ya kichagga. Ila mbutananga kama anavyojulikana ni mdada fulani amazing sana, yupo mamtoni. Huwa anauza chupi na bidhaa nyingine ila pia huwa anatoa somo la how to look sexy at home. Ni role model wangu kwenye suala zima la "confidence". Afu ni rafiki wa kufa kuzikana naa super mogul le mutuz. Naomba tu umgoogle ndo utanielewa vizuri
 
Hahahaa asante nitamgoogle tu ,
Wachaga watatusaidia hapa nini maana ya mbuta
 
Hujaelewa somo....
Sipingi uvaaji wenu ..
Nimetoa hints tu
Just relax......
 
Dah kamwonea tu ,angetumia tu busara huwezi jua baadae bi dada angemwonea huruma ...

Ila wanawake wametofautiana kuna mwingine ukimchana hivyo ndio anakupa mzigo
Mkuu lkn mchano wake una kaukweli
 
Sioni kwa nini mtu asivae kimini eti kwa sababu ana miguu mibaya/myembamba. Hata kama ataonekana kituko, so long as yeye yuko comfortable hakuna tatizo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…