Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Son of Gamba,

Ukiwa arrogant, illiterate and No IQ like you is better you shut up..!!

1: Simu, laptop, Desktop, hii JF, unapopost anything online kokote, hivyo vifaa baba yako au mama yako aliviunda? Kama ni utumwa wa vitu tupa hivyo vitu ubaki empty.. Wtf!

2: Education system, almost 99% of what you learned, have been taught and graduated, ulijua ni system ya kiafrika au wazungu? Up to where you are, ulisomea education system ya baba yako? Lugha sio sbb, i talk misingi ya elimu na curriculum, au ulijua ni elimu ya kwenu huko ushambani.. Wht an idiot!!

3: Reasoning capacity yako huna hata kidogo, i said you have no IQ, anything good cha maendeleo wenzako wanaiga, so mengi mazuri wazungu wamevumbua tunasoma na kujua kisha tunafanya maendeleo, teknolojia lukuki tunajifunza ya wazungu, eg kutengeneza madawa, vifaa tiba, kusomea fani mbali mbali, kurusha na kutengeneza ndege, kilimo cha kisasa, mambo lukuki mazuri wazungu wamevumbua tunajifunza na kufanya maendeleo, etc etc ila ww sbb huna IQ, hujui hata maana ya Christmas ni nn, so i can't waste my time to educate you wildbeest, sbb hujijui.. Walking dead!!

North Korea unayosema, hakuna wezi wa teknolojia kutoka kwa wazungu kama NK.. Sbb ww ni pimbi hujui kitu, keep ur dead headed on blanket..!! Ur in total darkness!!
 
Usipate shida wewe Fanya kinyume chake ili usichekwe na kudharauliwa na wazungu..ukiweza Tembea uchi kabisa mana joto ni jingi sana!!

Kuhusu dini hakuna aliekushikia mtutu wa bunduki,bahari,maziwa,mito,majoka,milima,mapango na makabuli ya Bibi na babu zako
Yamejaa tele Nenda katambike ili uwe mwafrika halisi!!

Kuhusu wazungu kukufanya mtumwa na kukuibia umeamua mwenyewe!!
Lakini pia usisahau bila hao wazungu haya maumivu yako ungekufa nayo,lkn MUNGU saidia wamebuni teknolojia unapata pa kupumlia.

Mana kwahizi akili zako nahisi ungesha jinyonga kitambo sana!!

"Hakuna watu nawashimu kama wazungu" ukiachilia. Mabaya yao.....wamefanya mengi mazuri na yenye Faida kwa vizazi vya dunia ya Leo na kesho.

~~kila siku sikosi cha kujifunza kutoka kwao!!!
~wamenirahisishia maisha kila kitu easy..nikobongo lakini dunia yoote yangu...nafanya kazi nyingi na ngumu kwa kutumia teknolojia tuu!!
Napata kila hitaji langu bila usumbufu kila kitu ni teknolojia tuu....kumtukana mzungu kwa kigezo cha uafrika ni kukosa maarifa!!!

Hiki sio kizazi cha wapigania Uhuru,Uhuru sahizi tunadai kitekinolojia!!
 
Mbona hamuongelei wanaovaa vibandiko na hijab mwaka mzima? Kama utumwa tuanzie pale.
Ile mijibaibui mieusi imeficha uso mzima na mijisoksi myeusi tiii unategemea nn kama sio kutengeneza oven wabongo tuache kufuatilia mambo yasotuhusu jamani hlo guo la xmass linavaliwa kwa masaa2 sasa anaetamba nalo mwaka mzima si balaa?
 
Ukiwa arrogant, illiterate and No IQ like you is better you shut up..!!

1: Simu, laptop, Desktop, hii JF, unapopost anything online kokote, hivyo vifaa baba yako au mama yako aliviunda? Kama ni utumwa wa vitu tupa hivyo vitu ubaki empty.. Wtf!

2: Education system, almost 99% of what you learned, have been taught and graduated, ulijua ni system ya kiafrika au wazungu? Up to where you are, ulisomea education system ya baba yako? Lugha sio sbb, i talk misingi ya elimu na curriculum, au ulijua ni elimu ya kwenu huko ushambani.. Wht an idiot!!

3: Reasoning capacity yako huna hata kidogo, i said you have no IQ, anything good cha maendeleo wenzako wanaiga, so mengi mazuri wazungu wamevumbua tunasoma na kujua kisha tunafanya maendeleo, eg kutengeneza madawa, vifaa tiba, kusomea fani mbali mbali, kurusha na kutengeneza ndege, kilimo cha kisasa, mambo lukuki mazuri wazungu wamevumbua tunajifunza na kufanya maendeleo, ila ww sbb huna IQ, hujui hata maana ya Christmas ni nn, so i can't waste my time to educate you wildbeest, sbb hujijui.. Walking dead!!

North Korea unayosema, hakuna wezi wa teknolojia kutoka kwa wazungu kama NK.. Sbb ww ni pimbi hujui kitu, keep ur dead headed on blanket..!! Ur in total darkness!!
Msumari wa moto kwenye kidonda!
Umemjibu vyema...
 
Umesemaje..??.....halafu umezuuunguka ila bandiko lako la kishenzi lilikuwa linalenga para hii....Tahira wa miguu saba

Una laana...???
Nilipofika hapo ulipobold, nimeacha kusoma hayo mengine yaliyoendelea..
 
Kuna ulimbukeni kama kuiga dini za wenzetu? Mbona unatambua uwepo wa Kristu. Je uislam ulitoka Africa na hao wanaovaa vibandiko na kuficha nyuso unawasemaje? At least hii ni shughuli ya muda wa mwezi mmoja basi je, wanaovaa maisha yao na ulimbukeni mbona hutaji?
Kama wewe ni mwafrika wa kweli basi abudu kwenye dini za babu zako siyo hizi za kuletewa. Ukishaabudu kwenye dini za kuja, kubali kila kitu.

Usitudanganye, sasa hivi Australia na New Zealand ni joto, je hawatavaa hayo mavazi? Oh hata wazungu wanatucheka. Unajicheka mwenyewe labda.
Jamaa ana chuki dhidi ya dini moja ya kikristo iliyoanzishwa na "wazungu wa rumi".
 
Back
Top Bottom