Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Poa basi father Christmas wa Dar atavaa car wash kwasababu kuna joto ili asiwe limbukeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni balaaa....nimekufukua huko na wewe bila kufikiri ukaja kama tahira vile..Ubarikiwe sana. Waroma wanadanganya ulimwengu ya kuwa wao ni wakristo ilihali wamepotosha mafundisho ya Yesu Kristo. Wanafiki wakubwa.
Merry Xmas and Happy New Year.....Ndiyo liko motoni karibu
japo umechanganya lugha ila ukweli kile ulicho kilenga kuwakumbusha wanajamii kimefika; hakna kitu ambacho ni sumu mbaya kama ubaguzi ndani ya mioyo ya watu, leo mkristo unambagua muislaum au muislaum unambagua mkristo kwa kigezo kipi hasa na ukiangalia hizi din tumeletwa tu na tumejikuta leo mm ni mkristo kwa sababu pengine kizazi changu kilikuwa katka mazingira ambayo wanzungu wenye imani ya kikristo walipita na leo mm najiita mkristo na vilex2 muislaum pia leo una imani hiyo ni kwa vile wazungu wenye imani hiyo walipita maneo ambayo ndio asili yako, lkn ebu fikiria kama hao wazungu wasingeweza kuja uku na kuambukiza imani zao kwa wazee wetu je ww ungezaliwa ukiitwa mkristo au muislam lahasha ww ungeitwa kwa majina ya wazee wako kwa imani yao ila ungeendelea kuitwa ni mtanzania, sasa kwann leo unaskia mtu anasema hupaswi kuchangamana na mkristo au muislaumunabaki unashangaa ni kwa kigezo gani wanena h, mara nyingi huwa nasikitika sana,naona ufahamu wetu umetekwa tayari na hao ambao mtoa mada anasema hataki kuwatumikia japo imani na tamaduni zingine za kwao unazitumikia. ebu ndg zangu tuache kujenga mazoe mabaya ya ubaguzi kati yetu na mara nyingi watu huwa hatufatilii hizi mambo ila ukianza kuzifatlia na ukazijua huwezi kumkuta shehe anatamka maneno ya hovyo kama haya au kiongozi wa kikristo aliyeiva akatamka maneno ya hovyo kma haya kw sababu wanajuaAfricans tuna long way to go, am a born christian(now non beleiver) but inaumiza ona the level of hate and comparison kwa uislam..and islam hate to christianity pia.. Tukibaguliwa na wazungu tunaita racism but inside us tunabaguana kwa kigezo cha dini na makabila.. Lets change fellas..
Naaaam nashukuru kaka, ndicho nilichokusudia haswaa kusema.. Tukiacha kubaguana na kuwa wamoja..tutafika mbali sana..tungechukuliana tuu kama binadamu bila kigezo chochote maisha yangeenda poa sana..japo umechanganya lugha ila ukweli kile ulicho kilenga kuwakumbusha wanajamii kimefika; hakna kitu ambacho ni sumu mbaya kama ubaguzi ndani ya mioyo ya watu, leo mkristo unambagua muislaum au muislaum unambagua mkristo kwa kigezo kipi hasa na ukiangalia hizi din tumeletwa tu na tumejikuta leo mm ni mkristo kwa sababu pengine kizazi changu kilikuwa katka mazingira ambayo wanzungu wenye imani ya kikristo walipita na leo mm najiita mkristo na vilex2 muislaum pia leo una imani hiyo ni kwa vile wazungu wenye imani hiyo walipita maneo ambayo ndio asili yako, lkn ebu fikiria kama hao wazungu wasingeweza kuja uku na kuambukiza imani zao kwa wazee wetu je ww ungezaliwa ukiitwa mkristo au muislam lahasha ww ungeitwa kwa majina ya wazee wako kwa imani yao ila ungeendelea kuitwa ni mtanzania, sasa kwann leo unaskia mtu anasema hupaswi kuchangamana na mkristo au muislaumunabaki unashangaa ni kwa kigezo gani wanena h, mara nyingi huwa nasikitika sana,naona ufahamu wetu umetekwa tayari na hao ambao mtoa mada anasema hataki kuwatumikia japo imani na tamaduni zingine za kwao unazitumikia. ebu ndg zangu tuache kujenga mazoe mabaya ya ubaguzi kati yetu na mara nyingi watu huwa hatufatilii hizi mambo ila ukianza kuzifatlia na ukazijua huwezi kumkuta shehe anatamka maneno ya hovyo kama haya au kiongozi wa kikristo aliyeiva akatamka maneno ya hovyo kma haya kw sababu wanajua
Yaani kitu kidogo tu kama vazi,na kusherehekea christmass,limekufanya utoe povu kiasi hiki,hii sikukuu,ni kama symbol tu,ya kukumbuka kuzaliwa kwa kristo,there is nothing hamrful in it,its just a mare day,Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.
Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.
View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655
Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.
Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.
Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
Mleta mada una mawazo mgando sana, mbona huongelei wanaovaa sare za CCM kwenye shughuli za kiserikali?
Kumbukizi ya kuzaliwa Yesu KristoKwani X-Mas ni sikukuu ya nini!!?
Naww kavae...Hata wale wanaovaa hijab na sijui nikabu na kuficha sura kama maninja wanakera kwakweli, yaani joto la Dar au Mtwara unakuta li janamke limejivika madudu meusi mpaka nyayoni. Kuiga kuiga