Yaani kitu kidogo tu kama vazi,na kusherehekea christmass,limekufanya utoe povu kiasi hiki,hii sikukuu,ni kama symbol tu,ya kukumbuka kuzaliwa kwa kristo,there is nothing hamrful in it,its just a mare day,
Kuna wakati wafuasi wa Yesu walikemewa kwamba wanafanya ambayo hayatakiwi kufanywa siku ya sabato,akawajibu wakosoaji,kwamba sabath is for men,not men for Sabbath,
Ni almost 2000years,karne 20 zimepita,ukitaka tufanye,na tuishi kama watu wa enzi hizo,utakuwa haujatumia akili yako vzr,
Mi nafikiri cha muhimu,ni kuangaria hawa wanaosherehekea hii sikukuu,wanatafakari nini?,wana mkumbuka nani?nini kina kuwa kimewaongoza ktk fikra zao,