Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hii ni mpya....Alikuwa Papa wa kwanza...??? Upo sawa kichwani wewe..??? Umevuta bangi..??Tena yeye naweza sema alikuwa ndiyo "papa" wa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni mpya....Alikuwa Papa wa kwanza...??? Upo sawa kichwani wewe..??? Umevuta bangi..??Tena yeye naweza sema alikuwa ndiyo "papa" wa kwanza.
Umezungumza vizuri sana...kukemea utumwa wa fikra walionao waafrika weusi dhidi ya wazungu! Kitu ambacho kwa maoni yangu naona haupo sahihi ni pale unapomhusisha mwafrika na ukristo....kiufupi ni kuwa kuukubali ukristo miongoni mwa waafrika huo tayari ni utumwa wa fikra kwa sababu Mungu wa kweli anaabudiwa kwa namna yoyote ile inayofaa na sio kutoa sadaka na kuahidiwa uzima wa milele wakati kiuhalisia hakuna uzima wa namna hiyo utakaodumu kwa mwanadamu.Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.
Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.
View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655
Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.
Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.
Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
Mara mia wamkumbuke bibi yake kuliko kusheherekea sikukuu yenye asili ya upagani. MESSIAH hakuzaliwa tarehe 25 December kama ulivyodanganywa. Soma Biblia yako utajua MESSIAH alizaliwa wakati gani. Kwa MUNGU hakuna uwongo kabisa, sasa kwanini kusheherekea siku ya kuzaliwa MWANA WA MUNGU kwenye tarehe ya uwongo? Kwanini kuchanganya mambo ya MUNGU na mambo ya uwongo? Je!, unaweza kuchanganya maji safi ya kunywa na mafuta ya taa kidogo tu kisha hayo maji yakawa salama kwa kunywa?Mtoa mada umeandika Usenge mtupu rais wa korea kaskazini amesema marufuku xmass ila tarehe 25 dec 1922 alizaliwa bibi yake so bora wamkumbuke bibi yake.
Kwani kuna ambaye amesema Yesu alizaliwa 25 Dec...???MESSIAH hakuzaliwa tarehe 25 December kama ulivyodanganywa.
Yani wewe ndio mbumbumbu kabisa.....Hakuna mahali biblia imetaja tarehe ya kuzaliwa Kristo na wala hakuna aijuaye tarehe aliyozaliwa..Soma Biblia yako utajua MESSIAH alizaliwa wakati gani
Tupe hiyo tarehe aliyozaliwa Kristo....Wewe ikiwa rafiki zako watasheherekea siku yako ya kuzaliwa kwenye tarehe ambayo siyo uliyozaliwa utafurahia?
Nyie ndio wale mnasema internet ni uchawiAina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.
Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.
View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655
Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.
Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.
Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
Dar kuna winter?Unafikiri Xmass inasherehekewa na nchi za baridi tu? South Africa, Australia, New Zeiland na South Asia Countries in winter? Mbona wanasherehekea na kuvaa the same father Christmas costumes?
Biblia ina siri kubwa sana kama huna mwongozo wa ROHO MTAKATIFU huwezi kuelewa kitu. Kila kitu kimeandikwa kwenye Biblia, mpaka mwezi aliozaliwa MESSIAH, sema sababu ninyi ni vipofu ndiyo maana hamwoni. Rudia kusoma kwa makini na utulivu huku ukiomba MUNGU akupe akili za kuelewa na akufungue macho utaona kila kitu. Kwa kukusaidia LUKA ameandika kila kitu.Yani wewe ndio mbumbumbu kabisa.....Hakuna mahali biblia imetaja tarehe ya kuzaliwa Kristo na wala hakuna aijuaye tarehe aliyozaliwa..
Sasa nakuomba wewe unipe hiyo tarehe na mwezi aliyozaliwa kristo...
Kisha iniambie umetumia kalenda ipi kukokotoa hiyo tarehe..
NB.....Usiniletee ushenzi wa kutumia kalenda hii ya leo ya Kanisa Katoliki kukokotoa tarehe hiyo ya Yesu kuzaliwa
Ahsanta
Jibu si ndo nimeandika hapo? Nchi nilizozitaja sasa hivi ni joto na jua kali lakini wakati wa kusherehekea hawataacha father.Dar kuna winter?
Mkuu na ww umeiga kutokea Korea .umepotea mlango wa kuingia geuza mkuu huko ni kwa kikeAina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.