Uvaaji wa mavazi haya ni ulimbukeni wa kiwango cha juu sana

Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.

Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.

View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655

Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.

Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.

Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
Yawezekana hapo ni Njombe.... Au ndani kuna kiyoyozi [emoji1] [emoji1]
 
Kwanini unapaka mafuta yanayo nukia na perfume na wala sio samli kama watu wa kabila fulani hivi
 
Mkuu naamini kwa sababu ya utumwa kuna watu watakutolea povu ila mm nakuunga mkono
hivi mkikaa kimya mnapungukiwa na nini si yeye ameamua mbona mikanzu hiyo watu wanakwepa mwambie mkeo kuhusu ninja nikabu tulia wewe
 
Kituko ni pale unapokubali dini nzima ya kupandikiziwa kutoka utamaduni mwingine, na kukataa mavazi tu.
 
Hii ni Bonge la Biashara. Hao wote unaoona WAMELIPWA hela nzuri tu.

Hata huko North America na Europe ukiongea na nchi kadhaa kama Australia, New Zealand, South Africa etc kipindi hiki Serikali inaingiza KODI kubwa sana kwa makusanyo ya vitu vinavyouzwa kipindi hiki.

Ni kipindi ambacho kinatoa AJIRA kubwa mno. Ni kipindi ambacho hata MATAJIRI Wabahili, fedha zao zinamwagika za kutosha na Masikini nao wanapatia-mo.

Tumeiga mengi mno. Unakuta jitu jeusi tii linaitwa Ian Smith au Abdoul Sadique!!!!
Hili la nguo siyo JIPYA. Tumeshaanza kitambo mbona kuwa Weupe na kuchonga Pua.
 
Africans tuna long way to go, am a born christian(now non beleiver) but inaumiza ona the level of hate and comparison kwa uislam..and islam hate to christianity pia.. Tukibaguliwa na wazungu tunaita racism but inside us tunabaguana kwa kigezo cha dini na makabila.. Lets change fellas..
waafrica kwenye din hatubaguani tunaelekezana tu huyu mwandishi ndio mdini pumbavu zake akikaa kimya atapungukiwa na nini ningempiga dole matakoni choko huyu
 
Mimi ni balaaa....nimekufukua huko na wewe bila kufikiri ukaja kama tahira vile..

Vipi mada zetu zile za makambi kuhudu xmas utatizishusha lini mkuu....Wajoli tunazisubiria kwa hamu
Waambie basi Mods waachie hizo threads naona wamezishikilia tu. Vipi utaratibu umebadilika siku hizi nisaidie mwenyeji wangu.
 
Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.

Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.

View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655

Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.

Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.

Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Umesemaje..??.....halafu umezuuunguka ila bandiko lako la kishenzi lilikuwa linalenga para hii....Tahira wa miguu saba

Una laana...???
Ukisema nina "laana" au sina "laana" haiwezi kusaidia kuundoa ukweli ulio dhahiri kabisa. Sikukuu ya X-mass ni siku ya kuabudu "mungu wa jua wa kipagani"(Mithras). Siku hii iliingizwa kwenye kanisa la Roma (Roman Catholic Church) na Emperor Constantine ambaye alikuwa ni muumini wa dini ya Mithra. Cha ajabu zaidi Emperor Constantine alijifanya kuwa "askofu" wa Roman Catholic church na hata siku moja hakuwahi "kubatizwa". Mtu huyu alikuwa ni wakala wa ibilisi na mpaka leo dunia nzima inasheherekea sikukuu hii aliyoifanya eti iwe ndiyo siku ya "kuzaliwa" MESSIAH. Hata siku moja BWANA MUNGU hafungamani na "udhalimu".

Mtu huyu huyu Emperor Constantine wa Roma, ndiye aliyebadilisha siku ya kuabudu kutoka JUMAMOSI ambayo ndiyo SABATO ya kweli na kuihamishia siku ya JUMAPILI ambayo ni siku ya kwanza ya Juma (SUN DAY) ili kumtukuzu huyo mungu wake "feki" aliyekuwa akiitwa Mithra. Historia ipo na imeandikwa. Tatizo lako husomi, kazi yako ni kufuata tu mkumbo. Pole sana Otorong'ong'o, nakuombea kwa MUNGU akufungue macho uuone UKWELI.
 
Aina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.

Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.

View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655

Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.

Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.

Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
KWAHIO MKUU UNAMAANISHA KWAMBA, WAISLAMU WA DAR, WASIVAE MABAIBUI NA KANZU????!!!!! Kwakua wakivaa watakua malimbukeni na washamba, maana dar kuna joto kali. Kwamujibu wa maelezo yako.
 
Son of Gamba,

Ukiwa arrogant, illiterate and No IQ like you is better you shut up..!!

1: Simu, laptop, Desktop, hii JF, unapopost anything online kokote, hivyo vifaa baba yako au mama yako aliviunda? Kama ni utumwa wa vitu tupa hivyo vitu ubaki empty.. Wtf!

2: Education system, almost 99% of what you learned, have been taught and graduated, ulijua ni system ya kiafrika au wazungu? Up to where you are, ulisomea education system ya baba yako? Lugha sio sbb, i talk misingi ya elimu na curriculum, au ulijua ni elimu ya kwenu huko ushambani.. Wht an idiot!!

3: Reasoning capacity yako huna hata kidogo, i said you have no IQ, anything good cha maendeleo wenzako wanaiga, so mengi mazuri wazungu wamevumbua tunasoma na kujua kisha tunafanya maendeleo, teknolojia lukuki tunajifunza ya wazungu, eg kutengeneza madawa, vifaa tiba, kusomea fani mbali mbali, kurusha na kutengeneza ndege, kilimo cha kisasa, mambo lukuki mazuri wazungu wamevumbua tunajifunza na kufanya maendeleo, etc etc ila ww sbb huna IQ, hujui hata maana ya Christmas ni nn, so i can't waste my time to educate you wildbeest, sbb hujijui.. Walking dead!!

North Korea unayosema, hakuna wezi wa teknolojia kutoka kwa wazungu kama NK.. Sbb ww ni pimbi hujui kitu, keep ur dead headed on blanket..!! Ur in total darkness!!
Mimi na wewe nani hajui kitu hapo? Labda mimi sijui kitu, lakini kwenye "thread" yangu nimezungumzia "uvaaji wa nguo kwa ajili ya kujikinga na baridi kali, mtu anavaa nguo hizo huku Africa kwenye jua kali ambalo linachoma kama pasi". Mimi sijasema kila kitu walichokianzisha wazungu ni kibaya, soma thread yangu vizuri uelewe. Hakuna mahali nimesema "technology" ni mbaya, wala sijasema madawa ya kutibu watu ni mabaya; nimezungumzia X-mass kuwa ni "sikukuu ya kipagani".

Acha kukurupuka kuandika vitu hovyo hovyo bila kuzingatia mtu anazungumzia nini. Wewe kuikubali Sikukuu hii ya Kipagani au dunia nzima kusheherekea sikukuu hii ya Kipagani hakuihalalishi hata kidogo sikukuu hii ya kishenzi. Ukweli utabaki pale pale. Hii ilikuwa ni siku ya kumtukuza mungu wa kipagani aliyekuwa akiitwa Mithra. Siku hii tarehe 25 December siyo siku aliyozaliwa MESSIAH. Soma maandiko vizuri utajua ni lini MESSIAH alizaliwa. Acha kuiga kila kitu cha kipuuzi unacholetewa. Use your brain to reason things.

Ni kichekesho unamkuta mtu mzima na akili zake amevaa nguo ambazo zinavaliwa Ulaya kwenye baridi kali na barafu, yeye anavaa nguo hizo kwenye jua kali la Dar eti anasheherekea X-mass; huo ni "ulimbukeni wa kiwango cha juu sana". Wewe unafikiri huyo wanayemuita Santa Claus (father X-mass) kwanini alikuwa anavaa mavazi ya aina hiyo?? Unajua sababu ya kuvaa hivyo anavyovaa??
 
KWAHIO MKUU UNAMAANISHA KWAMBA, WAISLAMU WA DAR, WASIVAE MABAIBUI NA KANZU????!!!!! Kwakua wakivaa watakua malimbukeni na washamba, maana dar kuna joto kali. Kwamujibu wa maelezo yako.
Soma post yangu uelewe. Baibui na Kanzu siyo mavazi maalumu ya kujikinga na baridi. Aina ya mavazi ambayo anavaa mtu wanayemuita "father X-mass" ni mavazi maalumu ya kujikinga na baridi kali na barafu ambayo huwa inadondoka huko Ulaya wakati wa Mwezi wa December mpaka Mwezi March. Aina hiyo ya mavazi huwezi kuvaa Dar sababu hapa Dar es Salaam hakuna barafu inayodondoka, wala hakuna baridi kali. Ndiyo maana nikasema ni Ulimbukeni kuvaa nguo kama hizo.
 
Back
Top Bottom